images-8 Kwa Maneno 3 Tu Unaweza Kumpata Mwanaume Wa Maisha Yako0fgjhs1f2gdsru8bi.3794c87a Kwa Maneno 3 Tu Unaweza Kumpata Mwanaume Wa Maisha Yako

Kujifunza jinsi ya kumfanya mwanaume akupende haina maana kwamba unajiimarisha .

Upendo. Ni uvumilivu. Ni Wema.  Unakatisha tamaa na kuchanganyikiwa.

Kwa wanawake ambao wako single wanaelewa maana hii.  Maisha haya sio ya kukufanya uzimie moyo. Lakini kujifunza ili kupata mwanaume aweze kukupenda sio kujiimarisha, kubadilisha mwonekano, sio kusoma kila kitabu kinachohusu  mapenzi kwenye maktaba.

Unaweza kumpata na akakupenda kwa urahisi sana kuliko unavyotegemea. Na inaanzia kwenye maneno matatu.

Bila shaka utaanza kusema inakuwaje maneno matatu ya miujiza ya kufungua moyo wa mwanaume aweze kukupenda. Kama ingekuwa rahisi basi ndoa zingekuwa kila siku za mamilioni. Lakini Kama ukielewa sababu ya maneno haya kuwa yana maana kubwa, hungeweza kujiuliza maswali.

Kwa hio maneno hayo ni yapi hasa? 

Nakupenda? Hapana

Nakutamani? Hapana

Kukutana Kimwili? Hapana

Usifanye kosa hilo hapo juu hata kidogo.  Kila mtu anataka kupendwa na kutamaniwa. Sex ni nzuri pia. Lakini hakuna hapo hata moja ambalo litamvuta mwanaume kwako.

Bado maneno hayo hayana nguvu. Yanaweza kumfanya mwanaume ajihisi kama mtego fulani . Kama unampenda anaweza kukupenda pia. lakini utamchanganya.

Kwa maneno mengine, maneno haya  yataleta tu hisia sio upendo.

download Kwa Maneno 3 Tu Unaweza Kumpata Mwanaume Wa Maisha Yako

Vipi kuhusu sifa, kama nakuheshimu?  Hiki ni kitu wanaume wengi hutaka kusikia, pamoja na kusema nakutamani, haya yako karibu kidogo lakini , Hapana.

Kusema kweli kuna kitu fulani cha ndani ambacho kitamfanya akupende na kuwa nawe . Ni kinyume cha kutishia. kwa hio ni yapi hayo tunayoongelea?

Ni haya, ngoja nikuandikie kwa msisitizo. ”I TRUST YOU”

Ukimwambia mwanaume kuwa Unamwamini ni kama muujiza wa risasi ndani yake. Hakuna kingine cha nguvu kama maneno hayo matatu.

Inakuja hivi, unapomwambia mwanaume unamwamini ,  unachokisema ni kwamba umejihakikishia kwake,  Na  ina maana umefahamu kwamba uhalisia wake huenda ni tofauti na wa kwako.

Unamuona kiongozi, unaheshimu uadilifu wake, na kwamba uko hapo kwa ajili yake na kwamba uko tayari kuwa naye.

Kwa kufanya hivyo atajiona mtu bora. Fikiri kwa ajili yako kwa muda kidogo , Watu wanapokuamini,  wanapokuona unastahili. Ni kawaida kwa kila mwanadamu, utahitaji kufanya vizuri zaidi ili usiwaangushe  uaminifu wao kwako.

Sio wanawake wote wanaliona hili. Ukweli ni kwamba Hakuna mwanaume  mzuri kule nje, ni kilio cha wengi.  Kwa hio, wanawake ni vizuri kama mtajiuliza wenyewe. Ni aina gani ya mwanaume unayemtaka. Kama utaendelea kujishushia hadhi  kutaka mabomu, basi wewe utakuwa ni mtu ambaye huelewi ni wapi pa kuvua samaki  umtakae. Ni muda wa kubadilisha mto wa kuvulia. Anza kujichunguza unapenda kitu gani, ni kazi gani unapenda kuifanya.  Na hicho kitu kinatoka moyoni mwako sio kwamba unafanya kwa ajili ya mshahara.

Kwa Akili hio, Sentensi hii—” I TRUST YOU” Ni ukiri. lina nguvu kubwa kwako. unaweza kulitamka au kulivunja.

Uchaguzi ni wako. Nimemaliza. Unahitaji msaada zaidi nitafute kwa email yangu.

Toa maoni yako.

Subscribe. utapata makala nyingine moto.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here