KWA NINI KUTANIANA KIDOGO NI SIRI YA KUMPATA SOUL MATE WAKO +PAMOJA NA KUPATA SEX BORA.


soulmate-online-dating-service-ftr-1024x640 KWA NINI KUTANIANA KIDOGO NI SIRI YA KUMPATA SOUL MATE WAKO +PAMOJA NA KUPATA SEX  BORA.

Ndani ya post  hii kuna mtu amenionyesha kuwa kuna tahadhari ya haraka  ambayo ni, tafakari   inayokukaribisha kwenye maisha  ambayo yatabadilisha njia ya mtu kuwa sahihi na nzuri

Utani ulio wa kawaida  ni jaribio la wewe kuwa makini na kuwa na ujasiri. Mara unapoanza kunywa,  utasahamu malengo yako kabisa. Inaweza kuwa  lengo lilikuwa kupata  mpenzi wa maisha yako, labda ilikuwa kujenga urafiki wenye msingi mzuri na  wenye maana. Kupata kinywaji kidogo  , hayo matarajio yako hutokea dirishani.

Fikiria unaenda  interview umelewa. Ungeweza  kuamka asubuhi hio na kwenda kuongelea kuhusu mshahara  ili  uongezeke badala yake unajikuta unabaki pale pale na ukafikiri ndio mpango kamili kumbe ni ulevi ndio umekufanya uwe pale.

Ujasiri ni uelewa  wa thamani yako. Mwanzoni, kwa sababu  inashusha  kuaibika.,inakufanya ujisikie kama mfalme wa  milima, kwini wa ulimwengu,  inakusaidia usahau kwamba kila kitu ni kitu hakijawahi kuwa kigumu.

Kwa maana nyingine  inafananisha na kujihukumu,  kama vile pombe  inavyokufanya  ujione uko sawa, salama , unasahau  kuwa hauko salama.’’ Nyele ziko rafu,  unahitaji kupungua uzito,’’ inaharibu mwonekano wako kwa watu wengine. Kwa hio mtu anapokuchukua wewe kwenda nyumbani kwake , unaona ni kawaida kwa sababu ya pombe, lakini panapokucha asubuhi unashangaa , huamini hayo maamuzi ulifanya wewe au ulilazimishwa na mtu. Na unaona kabisa kuwa halikuwa wazo zuri kuwa pale ulipo. Kujuta kwako kunakufanya ujiulize maswali  ya kujilaumu zaidi.. Kwa hio unaamua kuwa mbali na watu na kunywa peke yako wakati unaokuja.

soulmate-searching-1000x600 KWA NINI KUTANIANA KIDOGO NI SIRI YA KUMPATA SOUL MATE WAKO +PAMOJA NA KUPATA SEX  BORA.

Utani kidogo ni sawa na utambuzi.

Inaweza kuonyesha kama woga , Unaweza kuwa unafikiria, nitawezaje kwenda kupata vitu vya kuongea vitu  vya hatari bila ya kunywa kidogo.? Ni swali kubwa. Jibu rahisi ni  tafakari. Nilipoanza kutafakari, nilianza kuona kidogo kidogo ukwelli wa mimi  nilivyokuwa, ilikuja kama mianga ya taa  na  kuniweka katika vitendo, lakini kwa muda wa zaidi, ukweli, mtu kamili alionekana.

Chombo hiki cha tafakari  kimenifungua kwenye kazi ya kujichunguza, hio itakuongoza kwenye ujasiri wa kweli.

Unaweza usielewe hili, lakini unapovutiwa  unafanya  mambo mawili:  unafanya pendekezo la kitu unachofanya na  kesi ya kwa nini  unastahili hicho. Ujasiri ni chombo  muhimu  kwa kufanya mambo ya mafanikio. Pombe inakufanya  uweze kitu kimoja tu  kwa hivyo viwili. Inakuruhusu kubishana kwa ujasiri  kwamba unastahili kitu hicho  kukipata, hata kama hukustahili.

Kama watakukubalia wewe, ina maana ni kwenda wote nyumbani. Utani wa kwenye pombe unaweza  kuleta matokeo ambayo utapata mtu asie sahihi  katika chumba chako. Njia pekee ya kuepuka haya ni   kubadilisha  utani wa pombe na kuingiza utani kidogo wa  tabia ya kutafakari.

Kutaniana kidogo  itakufanya  kupata usahihi wa mtu  muhimu  ili kupata hitaji lako( whatever those are), na kupima  kiasi chao cha  maslahi kwa muda ambao utakuwa unawasiliana  pamoja.

Kujiamini kuna thamani,  haipo kwenye tabia zetu za  ujasiri. Ni sehemu ya kiroho,  yenye nguvu ya kipekee. Kama unahitaji maisha yalio zaidi ya hapo ( and sex life)  unahitaji kuwa na hivi vitu  visivyogusika. Na njia nzuri  ya kupitia hayo ni kwa kutafakari tu na mawasiliano ya kiroho. Unapowasilisha hivi, utakuwa hivyo. .Na kuwa hivyo ina maana kuwa  mtu wa kujiamini, kwa kuingia  upande wa kiroho, utasaidia  hali ya kutokuwa na usalama na kuwa katika  hali ya usalama iliopo ya ushindi.

soul-mates KWA NINI KUTANIANA KIDOGO NI SIRI YA KUMPATA SOUL MATE WAKO +PAMOJA NA KUPATA SEX  BORA.

shirikisha marafiki makala hii kisha toa maoni yako.

Previous SIMULIA HISTORIA YAKO , PONYA MOYO WAKO NA YALIOPITA.
Next MAMBO 7 YA KIHISIA WATU WENYE AKILI HAWAFANYI.:

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.