MAANA YA EID MUBARAK


Eid-Ul-Fitr MAANA YA EID MUBARAK

Katika Dini ya Kiislamu, Eid ni sherehe ya muhimu sana , na inaonyesha Upendo, kusherehekea maisha, na uaminifu kwa Mungu Allah. Sherehe mbili za eid kwa mwaka kwa waislamu ni Eid ul fitr na Eid ul Adha.

Eid maana yake ni Sherehe, inajulikana yenyewe, Mubarak maana yake ni Baraka. Mfano wa kufanya ibada ya maombi.

Wakati wa Eid ul fitr watu husalimiana kila mmoja  kwa neno la Baraka ambalo ni Eid Mubarak. Wakati eid ni jina la sherehe yenyewe. Na mubaraka ni kama kusifia .

Eid-ul-fitr-hd-image MAANA YA EID MUBARAK

Eid Ul fitr ilianzishwa na Mtume Muhammad.Inaanzia mwenzi wa kwanza wa Shawwal na mwisho wa mwezi wa  Ramadhan, Wakati ambao waislamu wako kwenye kipindi cha mfungo.

Ramadhani Mubaraka ni kuwatakia mfungo mwema. Au Ramadhan Kareem.

Muwe na Eid njema.

Previous SABABU YA KWELI WANAWAKE KUENDELEA KUTEMBEA NA WANAUME WALIO OA
Next HII NDIO SABABU INAWAFANYA BAADHI YA WATU KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA EXES WAO

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.