MAISHA WAKATI MWINGINE NI MAKATILI KWETU, LAKINI TUNAWEZA KUCHAGUA YASITUANGUSHE


sudan_630x354 MAISHA WAKATI MWINGINE NI MAKATILI KWETU, LAKINI TUNAWEZA KUCHAGUA YASITUANGUSHE
Maisha yana tabia ya kututupa sehemu mbaya, hata kwenye dump la takataka. inaweza kuwa ni vigumu kutoka kwa njia zetu wenyewe na siku zinaweza kujazwa na mapambano na kujihisi kama kawaida tena.

Kuhisi kuangushwa chini inaweza kukuletea hisia za kutojali, ya kukata tamaa kwa sababu ya kujiona umepigwa chini.

Lakini kwa ugumu uliopo wakati mwingine, kupokea ukatili huo mara nyingine kunaweza kukuletea nafasi ya kipekee- nafasi ya kujenga maisha yako na kutumia kama mafuta kuchaza nafasi ya pili ya kuishi maisha katika njia ilio moya na ilio positive.

Kila mtu anaweza kuachana na yaliopita . kupita katika giza wakati mwingine katika maisha yetu , Ni kujitahidi kupambana ili yasituathiri , kujitahidi jinsi ya kutumia mbinu na uzoefu tulionao katika positive way, na jinsi maisha yetu yatakavyotushape.Hapa ndipo tutakapokuwa watu bora.

Jihakikishe mwenyewe japo una mapambano.

Unaweza ukawa umepita kwenye maisha magumu sana ukiwa mdogo, na labda umelelewa na mama tu bila ya msaada wa baba yako , na huenda ulikuwa ukienda mji moja hadi mwingine na kuhudhuria shule tofauti tofauti, Na kitendo hicho kilikufanya upate ugumu wa kupata marafiki, Na wakati huo ulikuwa unapambana kwa juhudi kubwa.

Pamoja na kwamba hali haikuwa ya kawaida kwa wengi, unaweza kuongea na changamoto zinazokukabili kuondoka shule bila ya kupata Diploma. Lakini kwa kupitia uamuzi , unaweza ukashinda ugumu wako wa kusoma , na unaweza ukawa msomaji mroho.

Mapambano ya kuanzia umri mdogo yanaweza kukupeleka mahali pa juu kama ukikomaa nayo kwa akili, Lakini unatakiwa uwe na uwezo wa kubadilisha jinsi unavyojisikia na mawazo yako, na imani yako kuhusu wewe mwenyewe.

Kuamini kwamba mambo haya yamekuwa yakitupata tangu tukiwa wadogo. tunaweza kutumia kama sababu ya kupambana na njia zetu kupitia maisha yetu, au kutumia hayo kama Tochi ya kutuangazia ili tupite njia bora.

Tambua ujenzi ambao umekuja kutoka kwenye uharibifu.

pexels-photo-29773-1024x576 MAISHA WAKATI MWINGINE NI MAKATILI KWETU, LAKINI TUNAWEZA KUCHAGUA YASITUANGUSHE

Mbinu zingine unaweza kuzipata kutokana na kuondokewa na mtu ambae ulikuwa karibu nae sana , na ikatokea kwamba alikuwa akitumia madawa ya kulevya , na ndio hayo yaliomuondoa kwenye maisha. Na mtu huyo alikuwa na kipaji kikubwa .

Alikuwa ni Alama, mtu, na alikuwa mwigizaji. huenda mlikuwa pamoja na sasa unamkosa , utamfikiria mara nyingi.

Wakati mwingine unaweza ukawa umepotelewa na mchumba , au mke au mume. na wakati mwingine inaweza ikawa umeachwa.

Unapokuwa na uzoefu wa mambo hayo katika maisha, kuondokewa au kuachwa kwa umri mdogo, unaweza kuwa ni mtu mwenye nguvu. Lakini unaweza kutumia Uzoefu wa giza wa kupoteza ili kupata kingine, kujenga upya maisha yako na kuwa na mawazo positive na tabia positive kwenye maisha yanayoendelea.

Tumia Wakati Mgumu kujistawisha

Ingawa ni rahisi kukimbia na kujificha wakati majaribu yanapoingia kwenye maisha yako, Ufunguo wa kuendelea kwenye njia yako ni kutumia Uzoefu – wote mbaya na mzuri ili kutengeneza maoni mazuri kwa ajili yako.

Kama wewe ni mwigizaji , kama wewe ni mfanyabiashara, kama wewe ni mwajiriwa n.k. weka uwezo wako katika hilo. usikubali kuvunjwa na majaribu- Unaweza kutokea upande mwingine.

Licha ya kuwa mtu mwenye uwezo, uzoefu wako wa kupotelewa, wa kuachwa ukufanye wewe uitazame pesa kwa namna ya tofauti, uwe mnyenyekevu, na mwenye hisia za shukurani kwenye Ulimwengu wako unaokuzunguka.

Kwenda kwenye uzoefu kama kupoteza, kuumizwa, kuhangaika, upweke na mapambano yana njia inayokuonyesha uhitaji wa kukubali ulichonacho. Unaweza ukawa na vitu vingi kuliko pale mwanzo. Unaweza kujifunza kuwa na Amani na maisha mazuri ulionayo, nafasi nzuri zinazokuja kwa kukukamilisha, na jinsi ambavyo utakuwa mtu bora kwenye upande mwingine.

53632-Drake-Quote-Sometimes-it-s-the-journey-that-teaches-you-a-lot-1024x576 MAISHA WAKATI MWINGINE NI MAKATILI KWETU, LAKINI TUNAWEZA KUCHAGUA YASITUANGUSHE

Panga mafanikio yako sasa.

 

Umeipenda hii makala? shirikisha na wengine wajifunze.

Previous Kwa Nini Huruma Iwepo? Fungua Moyo Wako.
Next MAMBO RAHISI 6 UNAWEZA KUFANYA ILI KUONDOA MATATIZO YA GESI TUMBONI

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.