Mambo 10 Unahitaji Kufanya Ili Maisha Yako Yawe Bora.


slide_53161_333125_free-1024x800 Mambo 10 Unahitaji Kufanya Ili Maisha Yako Yawe Bora.

1.Jisamehe mwenyewe.

Jisamehe mwenyewe katika mambo yote unayofanya kila siku ambayo sio sahihi  kwako. Kwa ajili ya marafiki uliowatendea vibaya.Kwa ajili ya kazi ambayo hukukamilisha vizuri.  Kwa ajili ya kutowafanyia vizuri wazazi wako. kwa kila kitu ambacho kinakuangusha. jisamehe kwa kuwa wewe ni mwanadamu.

2.Achilia Mambo Yaliopita.

Achilia watu ambao hawakuweza kukuamini.  achilia watu ambao uliwapenda kwa kuchanganyikiwa lakini hukuweza kupokea chochote kutoka kwao. Achilia vitendo vibaya  ulivyovifanya na kila kitu ambacho hukuwa na uhakika navyo.achilia yaliopita, na tazama mbele .

3.Sema Kwa heri.

alles-was-in-april-natuurlijk-weer-seksisme-1413246895472-1024x576 Mambo 10 Unahitaji Kufanya Ili Maisha Yako Yawe Bora.

Sema kwa heri kwa ex wako ambaye bado unampenda. Wafungie wale watu wanaokufanyia vibaya, wanaokudharau, ambao hawana msaada kwako kwa kila maamuzi.  sema kwa heri kwa yeyote anayekufanya ujione mdogo kuliko kidonge. na wale wanaokufanya ujione hufai.

4.Omba Msamaha.

Omba msamaha kwa ajili ya mambo yote mabaya ulioyafanya. kwa kusema maneno mabaya. kuwa mtu mbaya.  Omba msamaha kwa watu ambao uliwadharau na kuwaona hawafai. Omba msamaha kwa wale uliowaacha .  Kwa watu ambao uliwahukumu bila sababu.

5.Tambua makosa yako.

Unapofanya makosa, usiyafiche, usiyafunike.  usichanganyikiwe.  Yatambue  na uyakubali  kuwa umekosea.  Hutaweza kwenda popote hapo Ulimwenguni kama hutakubali makosa yako na kuweza kuyatatua.  Kubali kwamba hutaweza kuwa sahihi kila wakati.

6.Omba kwa ajili ya kuinuliwa.

o-MIGRAINE-facebook-1024x512 Mambo 10 Unahitaji Kufanya Ili Maisha Yako Yawe Bora.
omba

Kama unahisi unafanya kazi kwa uaminifu na kwa juhudi , omba kwa ajili ya kuinuliwa. kupandishwa.  au anza kutazama kitu kingine mbali ya hicho.  maisha haya ni mafupi sana kwako wewe kufanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu bila ya kuinulia au kupandishwa cheo.Fanya kitu ambacho unahitaji kukifanya , sio kitu ambacho watu wanataka ukifanye.

7.Take risks

Usikubali kubaki katika hali ya mazoea, hali nzuri. Ondoka kwenye hali yako hio nzuri na yamazoea.  Safiri wakati unapokuwa unasikia kuogopa.  Mkiss mtu unayempenda hata kama hujui anakupenda au hakupendi. maadamu wewe unampenda.  take risks.

8.Jiamini mwenyewe wakati mtu mwingine hawezi kukuamini.

depositphotos_5130057-stock-photo-young-african-american-woman-smiling Mambo 10 Unahitaji Kufanya Ili Maisha Yako Yawe Bora.

Jipiganie mwenyewe kama vile unataka utoke kuzimu kama hakuna mtu anayekuamini. Unajifahamu vizuri kuliko mtu yeyote .kama ukiweka akili yako  kwenye kitu fulani, utamaliza kukifanya.  usiache chuki  ikushinde. usiachie hizo zikuangushe kiafya na kiroho.

9.Usichukue ”Hapana” kama ndio jibu.

Kwa kila hapana unayopokea, mahali fulani huko nje,  yupo mtu atasema ”ndio” Usikubaliane na hizo hapana na je kama ingekuwa.  Usikubali kidogo kuliko unavyostahili  katika maisha yako.kwa sababu haya ni maisha yako. usisikilize kila jambo linalosemwa, ukaona ni kweli.  fuata moyo wako. na huu ni muda wako wa kung’aa.

10. Kukomaza ngozi yako.

Tumia chuki na mawazo ya watu na mashaka yao kwa ajili yako,  Si kila mtu katika Ulimwengu huu atakupenda. Si kila mtu atakuchukia . Tumia upinzani na  watu waliopo kwenye ndoto yako. Halafu waonyeshe kwamba unaweza kufanya kitu. Waonyeshe kuwa utafanikiwa, haijalishi itachukua muda gani. Waonyeshe kuwa una nguvu  kuliko wanazoziona.

Kama umependa makala hii na imekusaidia, usiache kushare.

 

Previous Kukua Ni Ngumu Bila Hiki
Next Hivi Ndivyo Mawasiliano Yanakuwa Na Maana . Ni Zaidi Ya Kutuma Ujumbe Muda Wote.

1 Comment

  1. skudhany
    August 15, 2017
    Reply

    Nakala nzur sna yaani nahis km nimechelew kuanz kusom kz zko

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.