MAMBO 6, MWANAMKE AMBAE NI MGUMU WA KUPENDA ANAWEZA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAHUSIANO YAKE BINAFSI


Warsan-Shire-009 MAMBO 6, MWANAMKE AMBAE NI MGUMU WA KUPENDA ANAWEZA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAHUSIANO YAKE BINAFSI

Mahusiano kwa kawaida ni magumu, ingawa kila kitu   katika hayo ni  kufurahia, inahitaji kujitoa na kuwa na uzoefu, kujaribu kwa bidii n.k., bado ni kazi kubwa, na ni ngumu unapokuwa ni mwanamke ambae ni mgumu kupenda.

Hutakiwi kujitazama mwenyewe na kufikiria kuwa hauko sahihi, unakuwa unajali sana  kuhusu nani utampa muda wako.

Watu huja kwako  na unaonekana kama vile  huwaamini. Lakini,  kama itatokea kuwa karibu sana , wanatamani ni bora kama wangepata nafasi ya kuwa mbali na wewe, kwa sababu ya tabia yako  isioeleweka ya ukali, itakuwa ni kubishana , lakini ukali huo unafuatiwa na  matatizo. Nimewahi kusikia watu wanaongelea  mambo mabaya yasioeleweka, na kusema inawezekanaje kuishi maisha  rahisi  yenye furaha  , inashangaza.

Ni watu wachache sana wanaweza kukuelewa  uzuri wako na  kipaji chako  kwa sababu mara nyingi  unaonekana sio, unawafanya watu wachanganyikiwe. Hasa mwenza wako, unamfanya atumie nguvu nyingi kwa sababu unakuwa  unaonekana kutoridhika.

Inaweza kuwa unatambua hii hali yako na mara nyingi unajaribu kubadilika  ili usishindwe kwenye mahusiano , unahitaji uwe  rahisi,   uweze kupenda kirahisi,  lakini vyote vinakuboa na kukutoa kwenye hitaji lako.

Kila kitu unachokifanya   ni kwa ajili ya hamu- unashukuru,bila  ya kuwa na nia,maisha hayana maana kwako, na hata mahusiano yako. Ndoto yako  haikamiliki, unakataa kila mtu.

Unaweza kuwa ni mgumu wa kupenda, lakini  unastahili katika hili, unahitaji kuwa na hamu ya  kupenda na unastahili hilo. Huwezi kuacha -unahitaji kugundua hiloUtakapopata mtu wa kukupenda, kubali, shikilia , kwa sababu kwa mara ya kwanza  ni kwa ajili ya muda mrefu, unaye mtu si ndio,  na hapa utaona ni kitu gani  mwanamke kama wewe amejifunza kutoka kwenye mahusiano.

1.Mapenzi Ni Kazi.

Kama ukiangalia nyuma kwa yote yale yaliokushinda kwenye mahusiano, unaweza kuanza kujiuliza  kwamba una matatizo gani. Jibu la swali hilo halipo kabisa.

Unaweza kujikuta umezidiwa na ukali wa kutambua kuwa  ni nani wa kukupenda wewe na wa kukuelewa  kuwa unahitaji nini  ili  uonekane kuwa unapendwa. Ukweli utaona kuwa hakuna mtu  anayeweza  kuwa na wewe hata kama ukihitaji kujitolea,  ndio maana  hawakuwezi. Inakubidi kwanza ujipende wewe ndipo mwandani wako atawapenda na wengine .

Inaweza kuwa ni vigumu kupendwa, lakini ukweli ni kwamba , mtu anaestahili kwako , atakupa.

2.Mapenzi Ni Uvumilivu.

Kuna aina ya mtu ambae anaweza kukuweza wewe, na aina hio ya mtu ni yule mwe uvumilivu mkubwa . unaelewa huo uvumilivu na upendo huo  huja  kama vile kitu na box.

Vurugu zako, na mara nyingi  hakuna point katika kujaribu kufix  kwa sababu… Nina maana, kwa nini  mtu atake kukubadilisha  jinsi ulivyo? Mtu sahihi  atakuwa tayari kuwa na wewe bega kwa bega  badala ya  kuanza kujaribu kukubadilisha.

3.Furaha Huja Kutokana Na Kujipenda Mwenyewe.

Utakuwa umesikia mara milioni  kabla,  lakini ukweli huwezi kupenda  kamwe mtu mwingine mpaka hapo utakapojipenda mwenyewe jinsi ulivyo.

Unapoanza kujikubali,  na kutumia muda mwingi ulio bara peke yako kwa ajili ya maendeleo yako, utaanza kutambua  kuwa kwa nini   ukatishe mapenzi  kabla ya  kupenda.

4.Mapenzi Ni Maelewano, Kuafikiana.

Hujawahi  kuwa mtu wa kuelewana. Unakitu  kinachokufanya usiweze na chochote  kinachowezesha hakikubaliki.kwa hio,  kwa namna hio,ndio maana  mahusiano yako huvunjika

Mara unapogundua kwamba hakuna mapenzi yanayostahili kwa muda wako  yaweza kupona  bila ya kuafikiana, utaweza kukumbatia  kama yalivyo.  Yote ni kwa ajili ya kutoa na kupokea.

5.Lazima Uishi Na Craziness Yako.

Wengi wetu hujaribu  kuficha  ukichaa wetu kwa muda mrefu iwezekanavyo. Lakini  ni nini point yake? Huwezi kufanya hivyo  muda wote- hauko hivyo  wewe, unaiga tu ya wengine.

Ukweli, huwa ni ngumu kuambiwa kuwa wewe ni mgumu kama kokwa. Lakini katika yote ukweli,  wewe ni kinda , crazy woman haswa. Ni sawa . ucrazy wako  sio kitu kibaya, ndio upekee wako, unafanya utofauti duniani.

6.Jipende Jinsi Ulivyo.

Kwa sababu tu  wewe ni mgumu wa kupenda  haina maana kwamba   ni mwanamke mbaya au   mtu ambae hatakiwi kupendwa. Umekuwa  hauleweki tu,  na wala hakuna tatizo hapo kwako. Your beatiful, fun, caring, adventurous, and fierce.

Fanya kuwa yale mahusiano yako yalioshindikana kuwa ni funzo tu,  usianze kuyafikiria kama ni kitu kilichoharibika, kushangaa kuwa hukuweza kuyaweka vizuri yakadumu.

Wewe ni binadamu mwema  na  ukweli  ni ule moyo wa hekima tu ndio utaweza kukupenda. Wengine hawataweza , hakuna maswali ya kujiuliza. Sio vigumu kuwa na mahusiano na wewe kwa sababu  tu ya ugumu wako, na umejifunza  kujipenda  badala ya hilo la tofauti.

Upendo ulio sahihi utakupenda kwa kadri  ya hamu ulionayo unavyostahili.

Love-African-Entertainment- MAMBO 6, MWANAMKE AMBAE NI MGUMU WA KUPENDA ANAWEZA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAHUSIANO YAKE BINAFSI

=njia 5 za ukweli za kukuwezesha kutafakari kila siku

 

Umeipenda hii makala? mshirikishe na mwingine ajifunze. kisha toa maoni.

Previous NJIA 6 ZA KUUPENDA MWILI WAKO SIKU ZOTE.
Next Lorem ipsum dolor sit amet consectetur

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.