smilinghappyblackwoman_zps0f93f2b6 Mambo Ambayo Unatakiwa Kuyafahamu Leo Tarehe 10 August.

1.Kitu ambacho amesema blake lively kwenye  interview.

Amesema  kitu ambacho mimi na wewe huwa tunakifikiria sana mara nyingi ; Nafikiri  mwili wa mwanamke  baada ya kujifungua mtoto  unakuwa wa kushangaza … unaleta kiumbe kipya duniani, napenda sana kuona umbo hilo  la kushangiliwa kuleta  mtu mpya.

2.Watu wengi wamerudi katika muundo mbadala wa kujali afya ya akili.

Makundi mengi ya watu siku hizi kiujumla  wanakuwa makini na huduma zisizo na  uhakika, badala yake  wanajitibu  wakiona dalili . bado. Wengi wanaamini kwamba kwa makundi haya kupata mvuto  zaidi, wanahitajika  kutengeneza  ushirikiano  na kuwa na clinic nyingi.

3.Waitaliani  wamekuwa ni mamodel kwa  kupunguza ubadhirifu wa chakula.

Serikali ya Italiani  wamepitisha  bili ya  kusudi ili  kuondoa  ubadhirifu wa chakula  kwa milioni moja  kwa mwaka  kwa kufanya urahisi wa kutoa mchango kwa wenye uhitaji mkubwa

4.Naibu waziri  wa ujenzi kuombwa radhi na kulipwa fidia na  gazeti mseto.

 kumuomba radhi na kumlipa fidia ya shilingi bilioni moja kutokana na kuandika habari ya kumchafua.

Akizungumza na waandishi wa habari Ofisi kwake Waziri Ngonyani amesema kuwa Gazeti hilo la tarehe 4 Agosti 2016 liliandika habari yenye kichwa cha Habari “Waziri amchafua JPM” ikimuhusisha na upokeaji wa fedha kutoka moja ya Kampuni ya Madini wakati akiwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico).
5.Wafanyabiashara kunufaika na huduma ya mawasiliano nafuu.
002.UZINDUZI Mambo Ambayo Unatakiwa Kuyafahamu Leo Tarehe 10 August.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage,akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi wa huduma mpya ya Vodacom Tanzania  inayowezesha wafanyabiashara wadogo na wa kati (SME’s) kupata huduma mbalimbali za bei nafuu za mawasiliano zilizounganishwa pamoja katika kurahisisha biashara ikiwemo huduma za data ,huduma za kifedha kwa njia ya mtandao wa simu,simu za ofisini na huduma nyinginezo za mifumo ya usalama wa vifaa vya ofisi,Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.

6.Kuangaia  rangi kavu inaweza isiburudishe, lakini kwa kesi hii  ni muhimu sana.

Kampuni moja ya kudizaini  ilifikiria tu  juu ya  haki kwa njia ya werevu kuongeza  uwazi wao. Wanaishi kwa kujenga majengo kuonyesha wateja wao mkondo wa  mipango  halisi  inayoendelea  kwa kila kipande cha  samani.

7.Wanawake  wanakabiliana na  vitu  vingi vya  ubaguzi wa kijinsia kwenye  mashindano ya olimpic.

Hapana. Wanasema  mwanaume ana wajibu  wa  mbio za mke wake katika   kumtosheleza  mwendo wao  sio  wa aina moja. Hata hivyo wanasema  mwanamke  mwogeleaji , anaogelea kama mwanaume, jamani acheni hizo hii ni 2016.

8.Akili za kidigitali zinaweza kuwa zinajali afya  ili wasiathiriwe katika  matibabu ya  mtu., lakini  wamezungukwa na unyanyapaa.

Asilimia 67 ya watu waliochagua  kutembelea tiba  zaidi ya digitali  , lakini unyanyapaa  mara nyingi unakuwa unawatizama mbali na huduma za afya ya akili katika ulimwengu hasa,   hawasomi kwenye mitandao na huchati kidogo kidogo, wanatengeneza nafasi  kati ya  mtu na mtu kumwona kuonana. watu wengi wamekuwa wakipona kwa  kusoma wenyewe kwenye mitandao.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here