Mambo Madogo 10 Ni Muhimu Kukumbuka Ukiwa Katika Safari Ya Maisha Yako.


woman-laptop-thinking-1024x750 Mambo Madogo 10 Ni Muhimu Kukumbuka Ukiwa Katika Safari Ya Maisha Yako.

1.Wakati mwingine ni sawa kuishi katika mazingira ambayo huyafurahii. kama utajiuliza ,  hii kweli itakuwa ndio hali ya maisha yangu yote? Badilisha hayo mazingira. Wewe ni mtu pekee wa kubadilika kwenye maisha yako.

2.Ni lazima ubadilishe mambo yako, inaweza kuwa ni Nywele zako, Nguo,  makeup, mazingira ya nyumba yako,  tabia yako, mawazo yako, matendo yako n.k. hata kama kila mtu atakuona kama  umepoteza mwelekeo, watakuelewa baadae.

3.Ni sawa kabisa  kutarajia ubora kutoka kwa watu wa karibu yako.  kwa kuwa unawapa ya kwako.

4.Ni vizuri kama utasafiri. utapata mawazo mapya,  katika safari utakua kiakili na kiroho.

5.Ni sawa kama utaachana na watu wenye sumu ya maneno. wakati mwingine kuwa kimya  ni usalama.

6.Ni sawa kama utaondoka katika mazingira ya usalama na kuanza upya. mazingira mazuri yanakudhoofisha.

7.Ni vizuri kujiendeleza na Elimu zaidi. Kwa kuwa utapata maarifa na ufahamu. Nani ataweza kukusaidia kama hutawekeza kwa ajili yako?

Good_book_hero Mambo Madogo 10 Ni Muhimu Kukumbuka Ukiwa Katika Safari Ya Maisha Yako.

8.Ni sawa kama utahitaji msaada .  kama urahisi unavyoonekana , Hiki ni kitu kigumu kufanya, lakini bado utaweza kupata matokeo mazuri.

9.Ni sawa kukosea. Hasa unapokubali kuwa hujui kila kitu,Inaruhusu akili yako kufunguka.Maisha yako yatabadilika.

10.Ni sawa kukubali uwazi  na kukosa usalama  wakati wa mabadiliko . Ni kitu kinachoogopesha.

Kama umependa hii makala washirikishe wengi .

Previous Ushuhuda Mwanzo Wake Ni Mtihani
Next Wanawake Wanatakiwa Kusaidia Wanawake Wengine

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.