MAMBO MUHIMU YA KUJIHAKIKISHIA KABLA YA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA


Happy-People.jpg.jpg.653x0_q80_crop-smart MAMBO MUHIMU YA KUJIHAKIKISHIA KABLA YA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA

Kuna maswali common kabisa ya kujiuliza  katika mapenzi. Mara nyinngi ni kama haya; Nitajuaje kama huyu  mtu  ni sahihi kwangu? Nitamwambiaje kama ataweza kuyafanya maisha  ya uwenza kuwa mazuri? Ni vitu gani muhimu naweza kuuliza kwao?

Hakuna kati ya maswali haya  lenye urahisi wa kujibu. Tunapokuwa kwenye hali ya mapenzi, wengi wetu huwa tupo tayari kufanya chochote, na kuwa chochote.

Ni  jinsi tunavyoishi kwa kushikilia ufunguo  wa kujifahamu sisi wenyewe hasaa.  Kwa namna tunapojisikia tunapokuwa tumezama kwenye mapenzi haina  maana muhimu  kwamba  tupo na  mtu sahihi..Hapanaaa…

Hii ndio maana tunaita ‘’ falling ‘’ in love.  Haimaanishi kwamba  tumependa kweli au ndio tumepata mtu sahihi.- ni kwa sababu tu ni ubinadamu na ni kwa  sababu tuna miili ya yenye hisia za  kikemia.

Ni bora kuwa na uhakika  kwa kutumia  sehemu za kawaida za ufahamu  wa ubongo ili kufahamu   huenda mtu mwingine ana  ukweli na kumaanisha kuwa anahitaji kuwa na wewe maishani mwake kuliko kuwa katika hali ya kujisikia  kwa njia zetu  kwenye maamuzi yasio sahihi-Na je kama miili yetu haitakuwa na hisia kwao- haivutiwi, hakuna hata kikemia, Hapana ‘’waoo’’-ni kama umuhimu  wa habari ulivyo ambao unahitaji  uamuzi . wote tunahitaji moyo  na kichwa cha kuamua.

Hapa kuna baadhi ya vidokezo  ambavyo vitakusaidia  kupata  iwapo au mtu ana sifa  za kwenda nae mbali.

1.Hitoria Ya Familia.

Hii inahusiana na wanafamilia waliopo kwenye mahusiano yenye sifa nzuri na wenza wao. Naangalia bendera mbili nyekundu ninapoongelea  historia ya familia.1, Ni pale inapoonyesha kama mmoja wao ni hatari au ni kila kitu na ya pili. 2. Ni pale kama  watasema kila kitu au  wako sahihi. Cha msingi cha kuangalia hapa ni kwenye  haya, je wanakubaliana, wanasameheana, na je  wana washirika wa familia  wanaowaunga mkono.

Angalia huwa wanalaumiana vipi  au  wanawakosea  na kuwaletea shida wapi. Dalili nzuri inayoonekana  ya kuweka sawa ni ,  kwa mfano,  yafuatayo,  maelezo ya familia, baba yangu ni mwanaume mwenye uzoefu, ana upendo na ni mpole anapigana sana  na huzuni,  anapambana kiasi cha nusu  glass ilio tupu, anajitahidi kujiinua kidogo. Shida ni kwamba anapenda msaada  anapokwama mahali, lakini anaendelea,  nakumbuka ni vipi ,  amekuwa akinisaidia, ingawa  huwa haonekani  mara nyingi kwenye shughuli zangu, najua sio kwa sababu hajali .

Hapa ndio amebalance; ameelezea kama hivyo.

2.Mahusiano Yaliopita.

Ni muhimu kujua ni mahusiano ya aina gani amekuwa nayo kabla au aliyonayo. Dalili nzuri ni kwamba bado wanajali  hasa wale waliopita. Angalia kama waliwahi kushughulikia  matatizo yaliotokea kwenye mahusiano. Je wanawaongelea vizuri wale waliopita au wanawasema vibaya. Lakini ndio hivyo wengi wetu huonekana wema mwanzoni lakini baadae  ndio makucha huchomoza kama  ya kubandika. Uliza kama mwenza wake alijaribu kuomba msamaha  au la.

3.Kushughulikia Hasira

Hii inahusiana na wewe mwenyewe kuangalia , haihitaji kuuliza . angalia anakuaje anapopata hasira wanapokuwa wamekwama mahali, au wameudhiwa. Au kujisikia hasira. Katika maisha . inabidi kujitahidi ili usiingie kwenye njia isio sahihi. Watu wanaoongea kuhusu jinsi walivyokosana na wengine inaonekana ndio watakavyofanya kwako.

4.Ukweli.

Ufunguo wa mahusiano mazuri  ni  hali yao ya ukarimu na  mazungumzo ya kuelewana kwa wengine ni muhimu .  tunapokwama kwenye mapenzi wote tuwe wakweli na  tuwe na upendo . lakini inabidi kuangalia pale  mtu unapokuwa umeshuka moyo , wanafanyaje kukurudisha katika hali ya kawaida.

5.A Full Time.

Chunguza kama wana maanisha  maisha yao kwako- uzoefu,  hamu, nia ,  historia ya wao kuongezeka, wana ndoto kubwa au historia ya  kufanya ndoto zao kuwa kweli? Ufunguo wa urafiki wa kimapenzi upo kwao? Hapo ndipo utakapojua na kujisikia umekamilika na unachohitaji kwenye maisha yako .

MAHOJIANO.

Fikiria kuna sehemu mbili za mahojiano,  pamoja na mwenza maalumu ( kama vile  mtashiniwa wa kazi). Katika sehemu ya kwanza , amini moyo wako, kikemia, na uingiliaji wako.

Kama kitu kimoja tu kilikuwa rahisi , inaonekana wazi hakitoshelezi , ni asilimia 99 umeanguka  kwa mtu ambae  mwisho utakuja kugundua kuna mambo unakosa katika mahusiano.

Sehemu ya pili, Angalia uwezo wao , marejeo yao,  uzoefu wao na data zao zote  kama wanafiti.

Tuna sehemu mbili kwenye ubongo wetu,  vyote ni nyenzo za kutumia  kwenye mahojiano. .hisia’’ ni sehemu muhimu  ya dalili, lakini  ni sehemu ya maamuzi ya  kulinganisha sehemu zote za wenza.

Unaweza  kujifunza zaidi  hizi.

=Maneno matamu ya mapenzi ya kumwambia msichana

=Kabla ya kusema nakupenda, fikiria kama una vitu hivi 6 kwenye akili yako

 

Umeipenda hii makala? shirikisha marafiki kwenye Facebook.

Previous SANAA YA FURAHA NI JUU YAKO MWENYEWE ( NI KILA MTU ANAHITAJI KUWA NAYO)
Next Sed tincidunt leo faucibus malesuada erat eu

1 Comment

  1. […] =mambo muhimu ya kujihakikishia kabla hujachagua mwenza wa maisha yako […]

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.