LIFE

MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA:

Comments (27)
 1. Abdulrahim says:

  Maswali nimeyapenda yanajenga na kufanya mahusiano yawe imara zaid na zaid

  1. Asante sana Abdulrahim, endelea kufuatilia mafundisho yangu ili ufanikiwe zaidi katika mahusiano.

 2. gudy shao says:

  Maswal mazur san haya

  1. Vizuri , endelea kujifunza , pia fatilia makala zingine

 3. gudy shao says:

  Maswal mazur

 4. Deogratius Mziray says:

  Naamini maswali hayo yakizingatiwa mahusiano yatakua bora zaidi

  1. Deogratius kama upo kwenye mahusiano zingatia hayo

 5. lovie says:

  maswali mazur sana nimejifuza kitu hapo yanafanya majusiano yawe imara na msiborek mkiw wawil

 6. REMIGIUS CHILEWA says:

  Comment: DA MASWALI MAZURI

 7. Asante Remigius yazingatie

 8. Rahim says:

  Nmepnda kuona v2 vya msngi km hv asante sana mwamba

 9. Rahim says:

  Nimependa sana aya maswali good job best

  1. Asante sana Rahim, endelea kuangalia chochote, kisha jifunze kila kitu kwa urahisi.

 10. Comment:kiukweli nimejifunza mengi sana kutokana na maswali haya.

  1. Nashukuru Mediy good boy, zipo pia makala nzuri za kisaikolojia unaweza kujifunza ili kufungua ufahamu wako zaidi.

 11. Shah Abdul says:

  Comment:absolutely umeyafikiria yaan ni maswali ambayo matam af yana maana katika mahusiano

  1. Nashukuru Shah, zipo makala nyingi nzuri , angalia kila kitu na usome unachoona kinakufaa wewe na kuwasaidia wengine pia.

 12. Freadrick chisanza says:

  Naiona furaha ndani ya uhusiano kupitia maswal hayo

  1. Asante sana Freadrick Chisanza, fuatilia makala zingine za mahusiano ili kujenga mahusiano yenye afya zaidi.

 13. Godfrey Ndaile says:

  Comment:ziko poa sanaaaa

  1. Asante Godfrey Ndaile. Ziko nyingi zingine unaweza kujifunza, endelea kufuatilia.

 14. Seth says:

  swadakta

 15. Nam ayo maswali nimeyapenda san

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.