MOJA YA MAELEZO BORA YA RIDHAA YA MTU KATIKA MAPENZI


e8af936fe9d0bfe66c865702a14057e6 MOJA YA MAELEZO BORA YA RIDHAA YA MTU KATIKA  MAPENZI

Ridhaa ni rahisi: Usifanye kitu na mtu ambaye hataki kufanya hicho kitu.Usimkiss mtu ambaye hataki  kukukiss wewe, Usimguse mtu ambaye hataki umguse.

Kufanya sex na mtu ambaye amelewa  au ni mdogo na hajui kitu  na huenda anaogopa  kujielezea  kuwa hataki sio vizuri.  Fanya sex na mtu ambaye anahitaji kufanya  na wewe.

Inaweza kuwa inachanganya kidogo, Kusema ukweli  wanawake wengi wamekuwa wakijiona kama wanabakwa , hata kama wanakuwa wanafahamu ni kitu gani cha kufanya , Hatutaki kukataliwa, kutengwa  na kudharauliwa. Hatutaki kukosa nafasi tunayopata,  na pia hatuhitaji kupoteza  hali tulionayo. Hio ndio maana watu  hujirahisisha – bila ya kukumbuka kanuni hio   inasema nini.

Inakuwa kama mtu kufundishwa jinsi ya kumkiss mtu , wakati haya mambo huja kwa  asili yake .

Unaona sasa. Hii ndio  wanaume wengi  hufanya. Hufanya haraka kumkiss  mwanamke. Lakini wewe sio kama wanaume wengi.  

Siri ya kukiss ni katika kwenda asilimia 90  of the way.. Na kisha shikilia.

Kwa muda gani?

‘’As long as it takes for her to come the other 10.’’

Vyovyote unavyofanya, wewe fika hio 90 na mwenzako amalizie hio 10. Namaanisha usibakie kwenye asilimia 90 lakini inaidi kuuliza kama  ni sawa  kwa mwenzako na kama anapenda ulivyofanya.  Hii 90–10 ni kanuni  ya uwazi  kwa kupitia maneno, vitendo, lugha ya mwili, mbinu yeyote uliyonayo– nini unataka kufanya, na mwache  mtu mwingine afanye maamuzi  kama anahitaji kufanya hivyo pia.  Kama  hataki  ‘’ come the other 10’’,  hakuna kiss hapo.

Kama umemwomba mtu kutoka nae , uhakikishe kuwa asilimia 90 unaongea wewe, na yeye amalizie zingine 10. Sio unaanza kumwambia lete maneno. Niambie , haileti maana ya kumuomba mtu kutoka naye.

Na uwe na uhakika kuwa kuna kukubaliwa  na kukataliwa  ili usiumie moyo anapokuwa anakataa maombi yako. Na hio haina maana kuwa unavunja mawasiliana , huo ni uhuru wa mtu kuwa mkweli ndani yake.

Lakini pia nafikiri inastahili  kama mwanaume kwa mwanaume waongee haya mambo .  lakini pia mwanamke anaweza kukuelimisha  wewe mwanaume  jinsi ya kupata kitu. Unafahamu misingi ya kibanadamu.. Ni vizuri kufahamishana. Ili  kuepuka kubaka na kujilaumu .

Pastor MOJA YA MAELEZO BORA YA RIDHAA YA MTU KATIKA  MAPENZI

Hili somo litakusaidia kuepuka  mapenzi ya kuigiza, ambayo jamii inaona kuwa ndio mapenzi sahihi kumbe  ni maigizo tu. Kama unapenda kujifunza utamaduni wa ridhaa na ubakaji. Watu wengi wanafanyia kazi ya kubadilisha  hivi vitu. Ni muhimu kuangalia na kujali ridhaa ya mtu.

Watu wengi, kitu cha kwanza wanachojifunza ni mapenzi ya kuigiza  katika  hali ya sexualized.  Ni muhimu kukumbuka kuwa hayo ni maagizo tu sio ya kufuata . fahamu hilo mapema.

Nenda mpaka 90, na mtu mwingine amalizie  hizo 10.  Na kama hawataki,  inawezekana hawakuhitaji na hawako na wewe.Hakuna haja ya kumlazimisha mtu  kitu ambacho hataki kufanya.

 

Washirikishe wengi wajifunze.

Previous TUNAPOZIDI KUFANYA VITU AMBAVYO WATU WANAITA VYA KIJINGA,TUNAZIDI KUWA NA UJASIRI ZAIDI.
Next DONDOO 50 KUHUSU KUACHILIA ZINA MAFANIKIO, ZITAKUSAIDIA KUSONGA MBELE

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.