heart-1080x810-1024x768 MOYO ULIO NA FURAHA UNATOKANA NA KUJIJALI
Silhouette of hands in form of heart when sweethearts have touched

Tunapoongea kuhusu kujijali,  ni wakati wa kusherehekea  furaha ya moyo wako. tutaongea kuhusu Upendo; na pia tutaongea kuhusu kuwajali na kuwapenda  wengine.

Kujipenda sio uchoyo, ” kuhusu mimi” ni njia. ni katika kuheshimu hisia  hata kama sio za kweli, kuwa na muda wa kipekee,  na kujijali kwa njia ambayo ungeweza kuwajali wengine.

Yes.Ni sawa kujijali kama unavyowajali wengine. Kuna wengi wetu ambao huwajali sana watu wengine kuliko  wanavyojijali wenyewe. Hasa wale watoaji wanaweza kuwepo kwenye kundi hili. kama ni mmoja wa kundi hili , ni wakati sasa wa kuanza  kujiuliza mwenyewe,” kwa nini? ” kitu gani kinakufanya usipate upendo kama ambao unahitaji kuupata, una nia nzuri na unahurumia familia na marafiki lakini jibu la swali lako hupati.

Ngoja tujaribu zoezi dogo rahisi. Ningependa uende kwenye kioo chako mwenyewe. Nina maana ujiangalie kwenye macho yako mwenyewe.Unamfahamu huyo mtu?  Ningependa umwambie huyo mtu kuwa Unampenda, na kwamba ni mkamilifu.

images-1 MOYO ULIO NA FURAHA UNATOKANA NA KUJIJALI

Ok, umeweza? Umeweza kujitazama  machoni na sio wewe mwenyewe? Unaweza kumaliza zoezi hili bila ya ugumu? Au unaona kama nakuambia ukate mokono wako? Kama ni ngumu kwako,  Unatakiwa kufanya zoezi hili mpaka likukolee na uamini  hilo, haijalishi itachukua muda gani.

Kitu kingine ambacho nataka ukifahamu ni kwamba, ” Ningeamini kama mtu angeniambia kitu kama hicho? mbaya zaidi wengi wetu hatuwezi kuamini.

cardiac-1 MOYO ULIO NA FURAHA UNATOKANA NA KUJIJALI

Mitazamo  yetu haina umuhimu  wala sehemu, sio tu kwenye kujipenda. lakini hata kuwa wazi. kupenda, kuwa na moyo wa afya.  kubeba hisia mbaya na kujisemea  maneno mabaya yanaharibu  roho zetu  na uhai wa miili yetu. kuwa na moyo wenye afya sio kula vizuri tu, ni kufanyia mazoezi  mazuri ya akili, ubongo, mwili,  tabia,  na kuwa na msukumo mzuri wa damu… Afya ya moyo pia ni katika kujipenda.

 

Jipende. Jali afya ya moyo wako na hivi vitakujali wewe.

 

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here