christmas-and-new-year-wishes-messages-1024x622-1024x622 NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE

RAIS JOHN POMBE  MAGUFULI AKIWA KATIKA MISA YA CHRISMASI

1wwvghqnb-1 NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE

MISA YA MOJA KWA MOJA ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM.

bn3 NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE

Mungu alitupenda sisi akamtuma mwanae kupitia Mariamu.

Nimejifunza kutoka kwa mariamu kuhusu na maisha yetu  ya kuwa siri zetu  au mambo yetu tunatakiwa kujua ni nani wa kumwambia , si kila mtu wa kumweleza jambo lako.Mariamu alipopewa habari ya kuwa atazaa mwana nae atamwita YESU, Alitaka kumweleza mtu habari hio , lakini  alifikiri kwanza , ndipo alipoamua kwenda kwa Elizabeth ambae ni jamaa yake.

Si kila mtu wa kumweleza jambo lako  .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here