131011135712-01-big-star-small-screen-horizontal-large-gallery NGUVU YA UKIMYA

Ukimya ni chombo kinachotuliza  mambo mengi  wakati wa maongezi .

Katika maongezi huwa tuna nguvsahau au kutozingatia nguvu ya ukimya .

Ipo baadhi ya mifano :

Mteja amekuja kwako na shida yake ni kuongea alio nayo, anaongea kidogo na kunyamaza ,na unafikiria kuwa kuna zaidi alilonalo la kuongea , utakuwa unahitaji kupata mwitikio au utauliza kama anahitaji kuendelea kuongea zaidi? naamini ukimya ni mzuri tu kwa sababu mtu halazimishwi kuongea.

Umesema tu kitu fulani. fikiria endapo huyo mtu unaeongea nae amekuwa kimya kwa muda bila ya kukujibu au kuitikia kuliko kurukia tu kutoa jibu. Utakubaliana na hicho? huenda anajaribu kufikiria kitu cha kukujibu ambacho ni cha muhimu kuliko angepata hasira mara moja pale tu ulipomaliza kuongea. Ni vizuri kusubiri mwitikio wa mtu badala ya kuanza kumfikiria tofauti.

MV5BMTA3MTc2MjU1NDheQTJeQWpwZ15BbWU2MDU5NjUwNw._V1._SX485_SY321_ NGUVU YA UKIMYA

Msimamizi wako amesema anakupa ripoti siku ya Jumatatu wakati anajua wewe unahitaji hicho kwa haraka. unafikiri kipi kitakuwa na faida. kumwangalia machoni kwa ukimya au kusema jambo, ” unafikiri nilihitaji hicho jumatatu?” ukimya ni kama adhabu kwako lakini upo uwezekano wa kuzuia na kujilinda na chuki ambayo ingeweza kutokea baina yenu.
Uko sokoni na umeona kitu unachokipenda na unamuuliza muuzaji bei ya kile kitu, naye anakuambia bei.

Unafikiria ungepata mwitikio mzuri kwa kumwangalia tu bila ya kuuliza na yeye kukunyamazia bila ya kukujibu na kugeukia upande mwingine au kwa kusema, ” huwezi kufanya vizuri zaidi ya hili? nafikiria yaliopita.

Mtu unaeongea nae amesema tu kitu ambacho kimekukasirisha. Utakuwa na Hekima ya kujibu au kukaa kimya kwanza kwa muda? Ukimya utakufanya kutulia na kuondoa hasira. tena ukimya unakupa muda wa kufikiria kusema kitu cha ukarimu. Kama utaamua kujibu haraka, utasababisha mambo kuwa makubwa na hata kutoelewana na huyo mtu.

Unaangalia mchezo , na mwigizaji akasema kitu fulani cha muhimu, mtu anaeigiza nae anaweza kurukia na kujibu au kubaki kimya, kumwangalia mwenzake machoni. Kitu ambacho kinakufanya wewe uwe na hasira ya kusikia mwitikio?

Upo mvutano mkubwa kati ya kunyamaza na kusema. hio ni hali ya matumizi , uwe mwigizaji au uwe mzungumzaji.

Kama hauko vizuri katika kukubali ukimya kwa ajili ya kuogopa , unaweza kuonekana mjinga au utaonekana kwamba unasalimu amri kwenye nafasi za wengine, Unaweza kusema ” Naweza kupata muda wa kufikiria kuhusu hicho ulichosema ?”
Cha kubeba.
Ni bora kuwa na ukimya zaidi mara nyingi kuliko kukurupuka, Mara zote uwe na chombo cha ukimya ndani ya kifaa chako cha hekima.

quotes-on-silence-and-god-1024x640 NGUVU YA UKIMYA

Shirikisha wengine wajifunze kisha toa maoni yako.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here