9467013_embracing-breaking-free-from-self-sabotage_10e95c27_m NJIA RAHISI 6 ZA KUONDOA  NGUVU YA MAWAZO HASI YANAYOKUZUNGUKA.

Umewahi kuwa na hisia ya kitu fulani cha mbali? Una upungufu wa mawazo chanya? Au unajisikia kuwa na  uwepo mwingi wa negative  ukikuzunguka kila mahali?

Nguvu ya mawazo hasi  zinaweza kukumalizia maisha yako yote. Kuondoa hii nguvu maishani  ni kitu kimoja bora sana utakachofanya maishani mwako. Mara nyingine unaweza usijue tatizo liko wapi, hata kujua kama kuna tatizo. Wakati mwingine ni nguvu hio na wakati mwingine inazunguka tu. hatua ya kwanza ni  kugundua kwamba ipo, halafu unaendelea kutafuta jinsi ya  kuondokana nayo, na nyumbani kwako , kutokana na  hiyo hali ya  fikra hasi.

1.Utakatifu.

Hali ya utakatifu inatumika kusaidia kusafisha nguvu ya mawazo hasi  kutoka ndani ya chumba yalikokuwepo, kwa kuyaondoa haya mawazo , sio kwamba ni zoezi la kiroho peke yake, lakini pia ni  njia ya kisayansi.. Mimea  huondoa  negative molekuli, chembe oksijeni inayochajiwa na  electroni. Chaji ya negative ions inatengeneza  ufanisi katika asili na maji, hewa,  na jua, hivi ndivyo hutufanya tuwe na utulivu na – kuwa na nguvu mpya  tunapokuwa kawaida na kupumua hewa safi.  Ni mwili wako unakuwa umejazwa na negative molekuli

2.Kuongea peke yako.

Kwa maana nyingine ni kujithibitisha  kwenye positive .tnapofikiria positive. Tunavutia  nguvu  ilio positive. Njia hio  ni kuvuna ulichopanda.. Kwa  hio   jiongeleshe mwenyewe, mbali ya kunong’ona. Kila kitu kiwe positive.

3.Tafakari.

negative-postive-thinking-meditation NJIA RAHISI 6 ZA KUONDOA  NGUVU YA MAWAZO HASI YANAYOKUZUNGUKA.

Tumekuwa tukisoma kuwa ubongo ni kitu  cha kweli na unahitaji utulivu.  Ubongo unaweza ukabadilika- na unaweza kubadilika sana.

Tafakari, hasa tafakari ya utulivu ndani ya mindfulness, inatuleta kwenye huo utulivu.tunaweza tukajizoeza na  kutambua  hali ya uwepo  wetu na kufanya kuwe na utulivu mzuri. Haturuhusu akili zetu ziwe za kupita au za wakat ujao kwamba hazijatokea bado. Kwa maneno mengine , hatuogopi,  na hatuko kabisa katika nguvu za negative zinazuzunguka. Tuko na amani na utaratibu. Kwa sababu mindfulness inachukua nafasi ya zoezi hilo,, lakini  itabadilisha maisha yako.

  1. Kuimba.

Wengi wa waimbaji huishi kwa muda  mrefu! Kilamtu analifahamu hilo,kuimba ni kitu kizuri sana kwa afya, kwa ajili ya kujisikia vizuri mwenyewe, inaboresha  furaha,  inashusha  msukumo wa damu,  kuimba kunajenga  nguvu ya mapafu na mwili wako pia . na utakuwa na nguvu nyingi za  kuwa positive kila mara . hii hali ya kuimba huondoa hali ya  nguvu ya negativity na kuvutia positivity, na unaweza kuimba sehemu yeyote unayopenda.

5.Kutembelea sehemu za asili.

Njia rahisi na ya haraka ya kuondoa nguvu ya negative kutoka katika mazingira yako ni  kutoka kwenda kutembea  kwenye sehemu za asili. Kwenye hewa safi, miti mingi,   na sehemu nyingine ambayo itakufanya ujisikie vizuri, kuwa na amani , furaha.

6.Kwenda Bharini.

Wanasayansi wanashauri kutembelea baharini , kunaleta utulivu na  hali ya kutafakari, inatufanya tujisikie kusafishika, na  hata  kwenye ziwa na  mito pia inafaa kwenda karibu na sehemu zilizozungukwa na maji. Lakini kuna kitu kingine muhimu kuwepo  baharini- kwa hio ukiwa na nafasi – tembelea baharini, akili na mwili wako utashukuru.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here