SEX NA UCHUNGUZI KWA AJILI YA URAFIKI WA KIMAPENZI


search3 SEX NA UCHUNGUZI KWA AJILI YA URAFIKI WA KIMAPENZI

Kujua jinsi ya kupenda na kupendwa.Uzoefu wa kweli wa kirafiki kimapenzi katika mahusiano….

Wanandoa wengi hujiuliza , mwanzo walipooana  sex was exciting, na baadae  walianza kugombana na kubishana  na mwisho   kunatokea kutoelewana na wengine hata kuwa maadui.

Dalili hii ni sawa na kuita   asubuhi -baada ya dalili. Tunaamka na kujua kwamba urafiki wa kimapenzi  haukuwepo pale. Mapenzi ya kujamiiana hayakuwatosheleza hata kidogo, na kufikia kubishana na kugombani sio kitu walichotaka hapo mwanzo, yote hio ilikuwa kutafuta kuridhika kwa kila mtu. Vigezo vya mapenzi ya kweli na urafiki wa kimapenzi  havikuwepo kabisa, unajikuta katika hali ya kutokaa sawa, kutafuta  maelewano ya amani.

Urafiki Wa Kimapenzi  Ni Zaidi Ya Mambo Ya Kimwili.

Kila mmoja wetu ana sehemu muhimu tano katika maisha yake., Tuna kimwili,  mhemko akili, kijamii, na kiroho. Hizi zote hufanya kazi kwa kuelewana . katika uchunguzi wa kirafiki tunaotaka leo, au jana. Shida moja tulionayo ni  kutaka,’’ mara moja’’ msukumo wa hamu. Tunapohitaji kwa ajili ya urafiki katika mahusiano  haikutani. , ‘’tunaangalia kwa  hitaji la mara moja’’ tunatafuta wapi? Kimwili,  kiakili , kijamii na kihisia  au kiroho? Ni kimwili hicho. Ni rahisi kuwa na  mapenzi ya kimwili na mtu  wa jinsia nyingine  kwa muda wa saa moja tu au nusu saa– inategemea na uhitaji uliokuwepo. Na mara utagundua kuwa  sex hio ilikuwa ya  muda mfupi  kwa ajili ya hamu. Hii ni kweli kabisa  hitaji bado halijakamilishwa.

Utafanyaje endapo kadri unavyokutana nae ndio kadri unavyokuwa  hupendi kufanya nae tena? Tunajiweka sawa kwa kusema ‘’tunapendana’’  hapana, mapenzi ya kweli. Lakini bado tunajikuta  tunajilaumu na kutotosheka.  Hapa kwetu kiasi naona watu wanatafuta urafiki wa mapenzi kwanza baada ya kujua tatizo la kuvunjika kwa ndoa nyingi ni nini.

Naamini Kitu Hasa Tunachohitaji Sio Sex. Tunachohitaji Ni Intimacy.

Siku hizi ulimwenguni mwote  neno urafiki  unachukuliwa kama ni ngono tu. lakini ni zaidi ya hicho, inakusanya  sehemu zote muhimu  tofauti katika maisha yetu- ndio  kimwili lakini hisia za kijamii pia , kiakili na kiroho pia  pamoja na vipengele vyote.  Urafiki huu unahitaji maisha ya ushirikiano. Na wote hatuwezi kupata hamu kwa wakati mmoja au ukaribu , wa kila mtu. Kwa kushirikiana maisha  ndipo tunapata  hisia za pamoja.

Woga Wa Urafiki Huu- Tunaogopa Kupendwa.

Watu kuwepo pamoja kwa kuzoeana, ukaribu na huruma, lakini mara   at the critical point, tunarudi nyuma, tunaogopa ukaribu,  tuogopa mapenzi’’ baadae ukaribu unaokuwepo  na maumivu  yanakuwepo,. Ni woga wa maumivu pia  unatufanya  tusipate  urafiki wa kweli wa kimapenzi.

Mwanamke mmoja alisema , alikutana na  msichana, walikaa na kuanza kuongea  kuhusu matatizo ya  boyfriend wake, na mwisho akamalizia na sentensi hizi.  Na sasa nachukua hatua ya kutoumizwa tena,–  mwanamke akamwambia  unachukua hatua ya kutopenda tena. Basi msichana akafikiri yule mwanamke hajamuelewa,. Akaendelea, sio hivyo ninavyosema, sitaki kupata maumivu tena tu.  sitaki maumivu ndani ya maisha yangu.

Mwanamke akasema ni kweli hutaki  mapenzi maishani mwako, unaona,  hakuna kitu  kama  ‘’maumivu ya mapenzi’’  tunapokuwa karibu zaidi na mtu fulani,  nafasi ya maumivu inakuwepo.

Naweza kusema kwamba  kati ya asilimia 100 ya wingi wa watu  wanaweza kusema  wameumizwa katika mahusiano kabla. Swali ni …..

Unawezaje Kushughulikia Maumivu?

Watu wengi huwapa watu kitu kinachoitwa’’ double-sign’’ tunasema kwa mtu  kuwa , angalia  nataka uwe karibu yangu, nataka kupenda na kupendwa… lakini subiri kwa dakika moja. Niliumuzwa kabla,. Hapana. Sitaki kuongelea hili swala, na wala sitaki kusikia mambo hayo ‘’ tunajenga ukuta  kuzunguka mioyo yetu kutulinda kutokana na yeyote nje kuja kutuumiza.  Lakini ukuta huo huo  unaowatoa watu nje unatuweka  kuganda mahali fulani ndani .  Matokeo yake? Upweke unajipanga  ndani, na  urafiki wa kweli  na mapenzi   yanakuwa ni magumu kuyapata.

Mapenzi Ni Nini?

Mapenzi ni zaidi ya hisia,  na ni zaidi ya   hisia nzuri. Lakini jamii inachukua kitu Mungu  alichosema kuhusu  upendo, sex and intimacy na mabadiliko ndani ya hisia za kawaida na  mihemko.Mungu ameelezea  upendo kwa upana mkubwa kwako  kwa njia hii. Utakutanaje na mahitaji yako kama mtu anakupenda kama Mungu alivyosema  tunapaswa kupendwa

Kama huyu mtu anawajibika kwako kwa . uvumilivu,  wema na  hana wivu kwako

Upendo huvumilia , hufadhili, na wala hauhusudu, hautakabali,  haujivuni, haukosi kuwa na sababu hautafuti mambo yake hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote hustahili yote haupungui neno wakati wowote. Mambo matau makubwa ni  Imani , Tumaini na Upendo.  Lililo kubwa ni UPENDO.

Kama mtu anajua haya , ndio Mungu alivyoelezea  Upendo halisi , alitaka tuwe na mahusiano  mazuri. Na watu wanatakiwa kuangalia upendo wa kutoa zaidi kuliko  kutafuta ya kwako tu

Hapo ndipo kwenye tatizo. Nani ataweza kuishi  haya? Ni wewe na mimi

Kwa ajili ya urafiki wa kweli wa kimapenzi,  kwanza tunahitaji kupendwa.

Kwa ajili yetu  kuzoea  aina hii ya upendo katika mahusiano  tunahitaji  kwanza  kuujua upendo wa Mungu kwetu. Huwezi kupata haya mapenzi kama hukuwahi kuuona upendo wa Mungu  kwa njia hii, Mungu anayekufahamu , anayejua  kila kitu kinachokuhusu wewe. Anakupenda bila sababu.

Kwa hio ni muhimu kujua upendo wa Mungu kwanza kwako ndipo utajua upendo wa urafiki wa kimapenzi ulivyo mzuri katika mahusiano yako .

Jipange sasa kuanza upya ili upate uzuri wa mapenzi kamili unayohitaji maishani mwako.

=maneno matamu 18 ya kumwambia mwanaume na kuuteka moyo wake

=unaweza kupenda na kupendwa  unaconditionally

search3new2 SEX NA UCHUNGUZI KWA AJILI YA URAFIKI WA KIMAPENZI

Umeipenda hii makala? shirikisha na wengine wajifunze. halafu toa maoni yako.

Previous Proin metus leo ultricies sed vulputate eget
Next Interdum et malesuada fames ac ante ipsum

2 Comments

  1. […] =sex na uchunguzi kwa ajili ya urafiki wa kimapenzi […]

  2. […] =Sex na uchunguzi kwa ajili ya  urafiki wa kimapenzi […]

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.