SIFA 23 ZA MWANAMKE ANAYESTAHILI KUWA NA WEWE KIJANA:


KUTAFUTA MMOJA.

happy-black-woman SIFA 23 ZA MWANAMKE ANAYESTAHILI KUWA NA WEWE KIJANA:

Ni kazi ngumu  inapokuja  kutafuta mwanamke anayefaa  mwenye sifa uzitakazo,na kuna sifa nyingi zaidi ya mia  za kutafuta msichana  mwenye nazo. na tena mimi nakuja na hizi 23  kati ya hizo nyingi  ambazo naamini  zitakusaidia kutafuta  mmke anaefaa, ukichanganya na za kwako.

Hii makala  inafanana kabisa na  ile iliopita kuhusu wadada wanaotaka kupata  wanaume wazuri wa maisha yao, lakini, usiache kuangalia na kusoma  il uone ukweli halisi, usichukulie rahisi tu inapokuja swala la kutaka  mahusiano ya kudumu. nakutia moyo usitulie, tafuta. kwa sababu najua unapenda kupata mtu sahihi  na wa kudumu .

Kila mtu hutazama kitu tofauti lakini naamini hizi sifa zitakuongoza katika safari hii ndefu ulionayo ili kujiepusha na  na kupata mtu ambaye sio sahihi katika maisha yako.

Nakutia moyo  usikatishe safari , acha shortcut itakuumiza baadae., Mungu hajakuumba ili uteseke na mahusiano  yenye kuleta maumivu. usitulie. tafuta.

1.Anampenda Mungu.

2,Anakuunga mkono  katika mambo yako.

3.Ana malengo ya kueleweka, 

4.Ni mkarimu

5.Anakutia moyo .

6.Ni mkweli

7.Anawaheshimu wazazi wake.

8.Anajiheshimu na ni msafi.

9.Ni mtu wa kawaida.

10.Anamtanguliza Mungu kwa kila jambo.

11.Ni rafiki kwako.

12.Anacheka unapomtania.

13.Unavutiwa nae.

14. wakati wote yuko tayari kwa ajili yako.

15.Atakuombea, na mtaomba pamoja.

16.Anafanya kazi kwa bidii, ni mchapa kazi.

17.sio muongo na sio mmbea.

18.Ni mtu anayewajibika.

19. hafanyi maamuzi ya upuuzi na ya kijinga.

20. Hana maneno machafu mdomoni mwake, haongei hovyo.

21.Ana tabia ya kuvutia, ni nzuri.

22. Anafahamu vitu unavyomfanyia na anafurahishwa navyo.

23. Ni mtu ambae hufikiria positive na sio Negative  .

mwanamke SIFA 23 ZA MWANAMKE ANAYESTAHILI KUWA NA WEWE KIJANA:

Ni safari ndefu , na unaweza usipate mwanamke anaekidhi , na kukamilisha hizo sifa zote. lakini nina uhakika umepata hatua ambayo najaribu  kukupa hapo juu, Yupo mwanamke  mkamilifu kwa ajili yako . kwa hio nakuomba uchukue muda  wa kutosha kabla hujaingia kwenye mahusiano, tafuta usikae.

Mimi sio mjuzi sana wa haya mambo ya mahusiano, lakini naamini  hizo sifa hapo juu zitakusaidia kupata mtu sahihi, ingawa  huwezi kupata sifa zote hizo, lakini naomba Mungu akusaidie kumpata mtu wako wa maisha yako .

tafuta nusu yako ili uwe kamili, huwezi kuwa kamili endapo utapata nusu ya  mtu mwingine. labda nikupe mfano kidogo  , ukichukua EMBE NUSU , HALAFU UCHUKUE  PARACHICHI NUSU , JE YATAKUBALIANA? fungua macho na akili yako uelewe maisha ukichezea mwanzo ni gharama kubwa kurudisha.

unaweza pi kusoma,

1.maswali 60 ya kumuuliza  mpenzi wako , yanaweza kuwa ya kuchekesha na kufurahisha.

2.unatafuta nini kwenye ndoa.

 

shirikisha rafiki zako makala hii na utoe comments  hapo chini.

 

 

Previous SIFA 23 ZA KIJANA ANAESTAHILI KUWA NAWEWE BINTI.
Next KAZI YANGU NI KUWAPENDA WATU SIO KUWABADILISHA:

2 Comments

  1. […] sifa za mwanamke anaestahili kuwa na wewe kijana. […]

  2. […] -sifa 23 za mwanamke anayestahili kuwa nawewe kijana. […]

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.