SIFA 8 ZA KWELI ZA UZURI WA MWANAMKE


resized-photo-380x214 SIFA 8 ZA KWELI ZA UZURI WA MWANAMKE

Katika siku na umri na mahali ambapo pana mkazo wa uzuri  , Mara nyingi tunasahau   sifa  zinazoelezea  uzuri hasa wa mwanamke.

Wanawake wote ni wazuri  na  wana msukumo wa kweli,  na ni wa kipekee kila moja ana moyo wake na upendo wa  aina ya kipekee, hasa pale wanapokuwa na sifa zifuatazo:

1.Unyenyekevu

Katika ushindani wa siku na umri,  wote tunakuwa na pressure ya kuwa watu bora. Iwe kitaaluma , kiuchumi au kwa mwonekano. Unyenyekevu ni uwezo  wa kukubali na kutambua  na kubainisha  upekee  kama zawadi  iliosikika kiasi  ni sifa  nzuri  katika yote.  Inakufanya uwe kama wewe, ujikubali na  kushukuru uzuri wa kila moja  bila ya mashindano.

2.Upole.

Misongo na mikazo ya kila siku  haishindwi  kutuletea hali ya kujiona  hatufai na kujilaumu.. Uwezo wa kurudi nyuma na kuongea kwa upole  inahitaji  nguvu ya ziada ya kuwasiliana na –mwanamke anaeweza kufahamu hili ni yule ambae  ana uzuri wa kweli.Anajiunganisha na watu kwa urahisi  na ni rahisi kutoa na kupokea  upendo  katika njia ya usawa wa uzuri.

3.Uwezo wa kuinua

Kila mtu huanguka, na kila mtu hushindwa. Mwanamke wa kweli hufahamu wakati  ambao mtu hayuko katika hali nzuri. Huwa hana haraka ya kulaumu, na hukaa kwa kusubiri,  ni mkweli na mwaminifu katika  kusaidia kuleta amani.

Huelewa na kuwa na tumaini kwamba uwezo wake  umewasaidia kupita kwenye tatizo hilo na kupata mwanga mpya.

4.Ujasiri.

Mwanamke mzuri hufahamu kuinuka katika tukio wakati maisha yanapokuwa machungu.  Na hutokea mara, ujasiri wake  wote  hutokea na kumpa somo la nguvu. Ana uwezo wa kusukuma  vikwazo kwa nguvu. Na kuwa na tumaini kwamba vitu vitakuwa sawa. Atafanya kila awezalo ili aweze kuinuka tena, na hatakoma mpaka ahakikishe amefanikisha.

5.Uwezo wa kutumia mwingiliano

Mwingiliano katika mambo tofauti umefichwa kwa wenye akili,  na hata ikawa kitu kilichosahaulika,  wanawake wamezaliwa na akili nyingi za hivyo. Wanafahumu  hali halisi ya maisha , mahali ambapo kichwa na moyo haviwezi kukutana. Hata kama kuna mwingiliano wa namna gani.

Mwanamke mwenye kufahamu  anajua mahali pa ukweli  ndani yake  na kulinda kitu alichonacho. Hata kama hakionyeshi kama kinawezekana muda huo. Atafanya kile kinachotakiwa kufanyika., kwa kufahamu kuwa roho yake imemwambia kwa sababu.

6.Ukweli.

Mwanamke mwenye uzuri wa kweli anafahamu jinsi ya kuwa mkweli kwake yeye mwenyewe–Anafahamu muda ambao hayuko tayari, sio sahihi, na pia anafahamu kuwa lini atakuwa tayari.  Ana uwezo  wa kutumia hicho ili kupata nguvu.ili kimsaidie kusema ukweli wake na kufanya kitu hicho kwa wengine pia.

7.Ushujaa.

Kimila hufikiria kuwa ni wanaume tu ndio wenye ushujaa, Ushujaa ni sifa moja nzuri ya uzuri kwa mwanamke. Uwezo wa kufanya maamuzi na kupima hatari ni akili   ya maisha. Mwanamke  mzuri  ana ujasiri wa kukabiliana  na woga yeye mwenyewe, Na hufahamu kuwa  anao huo woga ili umfundishe somo la kuwa bora .

8.She Has a Big Heart

Wanawake ni watoaji– tunapenda  kulea.Mwanamke mzuri hufahamu muda wa kutoa, jinsi ya kutoa,  yupi hasa anastahili kupewa na jinsi ya kuishi kutokana na moyo wake.Huwa hatoi moyo wake kirahisi, hakubali kwa urahisi.

Lakini anafahamu kitu gani cha kufanya  wakati anapohitaji. Anapenda kuwepo kwenye mapenzi, na  hutunza upendo. Huamini ukweli kwamba moyo wake utamwongoza mahali ambapo anatakiwa awepo, na huwa hashindwi kufuata hicho ni ustawi wake  na zaidi.

 

Umependa hii makala? shirikisha wengi facebook.

 

 

Previous KAWAIDA YAKO KUSEMA HAPANA HATA KWA KITU AMBACHO HUJATAMBUA UMUHIMU WAKE?
Next MAMBO 7 HUTAKIWI KUCHELEWA KUJIFUNZA KATIKA MAISHA

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.