TABIA 15 WATU WENYE AKILI ZA NGUVU HUSHIRIKI PAMOJA.


486493137-56a792595f9b58b7d0ebca0d-1024x683 TABIA 15 WATU WENYE AKILI ZA NGUVU HUSHIRIKI PAMOJA.

1.Akili za wenye nguvu :

Hukubali muda wao kipekee , Lakini Watu wenye  akili dhaifu  huhitaji  company.

2.Watu wenye akili imara,  huishi wakati uliopo. Lakini watu wenye akili dhaifu  hufikiria yaliopita.

3.Watu wenye akili za nguvu,  hufanya kazi kwa bidii ili kupata wanachohitaji.Lakini wale wenye akili dhaifu  hufikiria Ulimwengu umewatawala.

4.Watu wenye akili za nguvu,  hukubali kusubiri matokeo. Lakini watu wenye akili dhaifu  huhitaji matokeo hapohapo.

5.Watu wenye akili za nguvu  hukataa kuwa watu wa tafadhali na kuridhika. Lakini watu wenye akili dhaifu  huhitaji kila mtu awapende.

6Watu wenye akili za nguvu hufurahia mafanikio ya watu wengine,Lakini  watu  wenye akili dhaifu  kwa siri  hufurahia kuanguka kwa watu wengine.

7.Watu wenye nguvu ya akili huwajibika kwenye  maamuzi. Lakini watu wenye akili dhaifu  huwalaumu wengine  kwa maamuzi mabaya.

8.Watu wenye akili za nguvu hukubaliana na vitu ambavyo haviwezi kubadilika.Lakini watu wenye udhaifu wa akili  hutegemea kila kitu kiwe chini ya udhibiti wao.

9.Watu wenye usmart wa akili hufafamu   thamani yao inatokana na nini.Lakini watu wenye akili dhaifu  wanahitaji mno kutambua watu wengine.

10.Watu wenye akili  za nguvu  hukubaliana na walivyonavyo.Lakini watu wenye akili dhaifu  hawaridhiki na walivyonavyo.

11.Watu Smart  binafsi hutafakari. Lakini watu wenye udhaifu wa akili hawatafakari, wana ubinafsi

12.Watu wenye akili za nguvu hujisikia wazi kwenye hatari na kwenye fursa.Lakini watu wenye akili dhaifu husita kubadilika

13.Watu wenye akili za nguvu  huchukulia hali mbaya katika swala la hali nzuri.Lakini watu wenye akili dhaifu  hukwama kirahisi  kwenye hali mbaya.

14Watu wenye akili za nguvu  huamka tena wanapoanguka. Lakini watu dhaifu  katika akili  hukata tamaa kirahisi wanapoanguka.

15.Watu wenye akili za nguvu  huwa ni manwana wa hizia zao. Lakini watu wenye akili dhaifu  hutawaliwa na hisia za watu wengine.

Panga malengo yako sasa.

Mimi nataka niendelee kuwa na utulivu wa akili , bila ya stress, kwa hio  ni ko kwenye  changamoto ya kutafakari kila siku.

Wewe je unaamua kufanyaje leo.

5-1024x540 TABIA 15 WATU WENYE AKILI ZA NGUVU HUSHIRIKI PAMOJA.

=jinsi ya kupunguza fikra mbaya ili uweze kutosheka katika maisha

=dalili zinaonyesha kuwa una wasiwasi wa kuzidi, jinsi ya kuondoa wasiwasi huo

 

Umeipenda hii makala? Shirikisha rafiki zako kwenye Facebook.

Previous NJIA RAHISI 6 ZA KUONDOA NGUVU YA MAWAZO HASI YANAYOKUZUNGUKA.
Next SANAA YA FURAHA NI JUU YAKO MWENYEWE ( NI KILA MTU ANAHITAJI KUWA NAYO)

1 Comment

  1. […] =Tabia 15 watu wenye akili za nguvu hushiriki pamoja […]

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.