Posts in tag

badiliko


Tabia au sifa zipi  zinakusukuma jinsi ya kuishi  maisha Yako? Kama mtu atakuuliza swali hili utalijibu vipi? Hili swali sio kuhusu mwaka mpya tu, ni kitu ambacho kinahusiana na undani …

0 47

Unaweza kubadilika bila ya kukua, lakini huwezi kukua  bila kubadilika. Kamwe hutaweza kupita katika mto huo huo mara mbili na ukapita kwa usahihi, utahitaji umakini mkubwa.

0 35

Kama hutakabiliana  na aina hizi za woga  utajikuta umefungiwa kwenye kifungo ambacho hutaweza kutoka kwa urahisi. Lakini kama ukijitahidi kupambana na woga utakuwa huru katika maeneo  mengi katika maisha yako

0 42