Posts in tag

dhambi


Watafiti waligundua kuwa ndani ya Biblia Kuna mistari 2350 inayoongelea pesa na mali.

0 39

Kitu chochote ambacho unakifanya  lazima kwanza kiwe na Nuru. Unapoona Nuru umeona Pesa. Hazina zote zimefichwa kwenye Giza. Ni muhimu kuitafuta Nuru ili upate Pesa.

0 51

Uongozi kiungu  unatoka kwa Mungu, Ina maana sio wa mwanadamu bali ni wa Mungu. Mwelekeo ni wa Mungu. Kufahamu ni mahali gani , ni kitu gani,  na ni wapi,  wakati  …

0 51