Posts in tag

furaha ya mapenzi


Happy new year, nimewamisi sana. Nafahamu kila mtu yuko vizuri 2017 .Na leo kidogo nawaletea afya ya mahusiano. Katika mahusiano, ingawa sifahamu ni aina gani ya mahusiano ulionayo sasa, lakini …

0 91

Kila mtu anatamani kukutana na Mr sahihi na Miss sahihi.Kabla hujakutana na mapenzi ya kweli , wengi huendelea kuwa na marafiki mbalimbali, na wengine huamua kubaki single, inategemea kila mtu …

0 72

Hapa ndipo unapohitaji kujua Common sexual na suala la mahusiano.Angalia baadhi ya maswali yafuatayo, Nimeolewa kwa muda wa miaka 10 sasa, miaka mitano iliopita

0 48

Wanasayansi wanasema. Pesa sio kila kitu, watu. Kamwe sitajidai kuwa najua mapenzi , au nina uzoefu mkubwa wa mapenzi duniani, lakini  ni kuongea na wanawake wengine tofauti tofauti  kuhusu wanaume …

0 75

Wakati  Ulimwengu wote  unapokuwa kimya,  hata sauti moja  huwa na nguvu. Haionekani kama ni vigumu kushirikisha  ukweli wako. Baada ya yote, ni ukweli wako- kitu gani kingine unahitaji kushirikisha?

0 50

Mahusiano yana rangi nyingi tofauti tofauti,  wengine huanza  vizuri na kuishia pabaya, na wengine  huanza vibaya mwanzo lakini huenda vizuri .kwa nini mahusiano mengine hufa wakati mengine hudumu kwa muda …

0 35

Kunong’onezana maneno yalio na mvuto au kuandikiana barua  kutuma kwa umpendae, yamepitwa na wakati kwa kizazi hiki, mwanzo vitu hivyo vilikuwa vinaleta mapenzi na hisia za ndani kwa kila mtu.

3 553

Ndani ya post  hii kuna mtu amenionyesha kuwa kuna tahadhari ya haraka  ambayo ni, tafakari   inayokukaribisha kwenye maisha  ambayo yatabadilisha njia ya mtu kuwa sahihi na nzuri

0 43

Wote tunafahamu  umuhimi wa  kuwa na  mwendelezo wa kila siku  wa mahusiano mazuri kila  asubuhi. Lakini  tabia ambayo ni nzuri  na yenye nguvu  ya mahusiano ni ipi kwako?

0 69

Katika ndoa na familia , sehemu hii ni mahali  pa baraka , mafanikio , upendo na amani , lakini kuna kitu watu wanaita shetani kanipitia, sasa wakati shetani anakupitia  ulikuwa …

0 49