Posts in tag

ishi


Hutaweza kufanya kitu chochote,  hutaweza kuwa na mahusiano mazuri, hutaweza kufanya maamuzi mazuri, hutaweza kuchagua unachokitaka kama utakuwa mtu wa kufikiria watu wengine watasema nini juu yako, watafikiria nini juu …

0 65

Mwisho mlango umefungwa na kelele zimekwisha. Nilikuwa chumbani mwangu ,Taa zimezimwa hakuwepo mtu yeyote.

0 46

Ukitaka kujua ubora wa maisha yako , Chunguza  maongezi yako. Kama mawazo yanaweza kubadilisha lugha, Lugha inaweza kubadilisha mawazo.

0 50

Msamaha ni zawadi  tunayotoa kwa ajili yetu wenyewe. Msamaha hauhusiani na jinai au uhalifu wa  makosa ya mtu. Ni kuhusu kuondoa mizigo ilopo ndani yako mwenyewe ili usiwe muathirika.

0 34

Wakati mwingine kwenye maisha tunajikuta tumefika mwisho. Hatuwezi kusogea. hujui ni wapi pa kuelekea. Haijalishi upo stage gani kwenye maisha yako, kama hufurahii ulichonacho, au huna uhakika katika kuendelea nacho, …

0 45

Ingawa tunaishi katika  hali ya kujilinganisha au kujifananisha , Hii hali itahitaji mafunzo makini ya ubongo, lakini kusema kweli unahitaji kuacha tabia hii mbaya ya kujifananisha na mwingine

0 45

1.Wanafahamu Umuhiumu wa mitazamo  mizuri. Ukiwa mtu wa mitazamo mizuri  hasa kwa kila kinachoendelea katika maisha yako, Kila unachovutia ni kizuri . Haushughuliki na mambo mabaya .Mtazamo wako ndio uchaguzi …

0 38

Tunaishi katika Ulimwengu mgumu  na tunashambuliwa kila wakati.Miaka ya leo ina mabo mengi ambayo yanaeleweka na yasioeleweka. Lakini bado unaweza kuishi kwa amani.

0 46

Woga Wa Kufanya Maamuzi Kitu ambacho natakiwa kuacha ni woga wa kufanya maamuzi. Na hitaji kushughulikia hali hii kwa ujasiri , ni kitu kinachofahamika kama  mashaka yangu mwenyewe. Mungu anataka …

0 34

Moja ya vitu vibaya ambavyo vinatokea maishani ni kutelekezwa na mtu au kitu ambacho ulikimiliki. Ndio maana watu wanasema kuwa ni bora kutounganisha moyo wako na mtu au kitu.

0 46