Posts in tag

mabadiliko


Hutaweza kufanya kitu chochote,  hutaweza kuwa na mahusiano mazuri, hutaweza kufanya maamuzi mazuri, hutaweza kuchagua unachokitaka kama utakuwa mtu wa kufikiria watu wengine watasema nini juu yako, watafikiria nini juu …

0 65

Nimeona mara nyingi kuwa watu  wanaangalia maisha  ya wengine, hisitoria zinajirudia, mara nyingi. Hata mimi nimejitahidi  kuepuka  hayo . lakini nimeamua  kufika mwisho  kwa ajili ya kutengeneza maisha ya baadae.

1 39

Tunatumia muda mwingi kuongea na wataalamu walimu mbalimbali , lakini  inawezekana  ukawa mteja mzuri? natumia neno uhuru mzuri,  bila shaka  mteja anawekeza kwenye huduma , na mtaalam anahusika  kwa kutoa …

0 38

Matatizo yanatokea kwa sababu haturuhusu mabadiliko yatokee. Tunayakataa, tunataka vitu hivyo hivyo. Kama unampenda mwanamke , unamtaka pia kesho,  vile vile kama ambavyo uko nae leo.  Ndio maana matatizo yanatokea, …

0 48

Nahisi kuwa peke yangu, kitu ambacho ni kizuri wakati mwingine kuwa peke yako. Mambo yanabadilika ndani yako, nje yako, unaweza kuhisi woga wakati mwingine

0 45

Ruhusu ubongo wako to consider radical changes instead. Tunapokuwa tunafikiria kukata tamaa kwenye mahusiano yetu, au kwenye maisha  ya kawaida, mawazo yetu yanakuwa narrowed to whether or not  we are …

0 45

Bila shaka  kwamba kwenye maisha unaweza  kuondokana na masikitiko na tamaa au majuto.

0 64

Watu ambao hawawezi  kubadilika wenyewe lazima  wapate kitu cha kuazima , wazo la kutoka upande mwingine, la kuwaingiza badala ya kuwatoa.

1 35

Nikiwa mdogo kabisa , miaka 21, nilipata kundi langu mwenyewe  la watu 25 ambao tulikuwa tukifanya kazi ya kuuza  vifaa, ilikuwa ni kazi ngumu sana.

0 34

Mara nyingi  huwa natafuta  vitu  vizuri vya kuniamusha katika maisha yangu. kwa nyakati nyingi ninapokuwa na msongo wa mawazo, kwa sababu msongo wa mawazo sio ugonjwa  ukiwa na  uelewa huo. …

0 34