Posts tagged "mahusiano mapenzi"

Kitu Kimoja Ambacho Wanawake Huelewa Tofauti Kuhusu Wanaume

Nataka nikushirikishe story moja  ambayo ni nzuri  na ina point kubwa. Miaka mingi iliyopita nilikutana na kijana, nilifikiri kuwa ni sahihi kwangu, Japo nilimsikia kabla  hatujawa watu wenye akili ya kutosha, mara nikaona kuwa ni mwanaume maalum kwa ajili yangu.