Posts in tag

mapenzi ya kudumu


Wale wenzetu katika mahusiano tunafahamu kuwa usimchukulie mtu kawaida kwa sababu umempata, au kwa kujihakikishia.

1 115

Dada moja alikuwa na mchumba wake aliepanga kuoana nae ,na alimpenda kutoka moyoni mwake. siku moja alipokea ujumbe kutoka kwa mpenzi wake kuwa anaamua kuachana nae, yaani kama hivyo , …

0 68

Inategemea na nguvu yako tu. Ulifikiri ilikuwa mapenzi ya kweli,kama hukufanya, hungeolewa nae. Na sasa umepewa talaka, na unahangaika kumwamini mtu mwingine tena kwa wazo la soulmate,  na unahitaji ndio …

0 34

Mapenzi ni uchaguzi,  tunachagua  kupenda au kutokupenda watu. Watu wengi wanaamini  katika  kupata, wanafikiri  kuna kitu maalumu cha kupata kutoka kwa mtu fulani  kwa ajili yao,  wale ambao wangependa  wachaguliwe …

1 34

Mahusiano yana rangi nyingi tofauti tofauti,  wengine huanza  vizuri na kuishia pabaya, na wengine  huanza vibaya mwanzo lakini huenda vizuri .kwa nini mahusiano mengine hufa wakati mengine hudumu kwa muda …

0 35

Kunong’onezana maneno yalio na mvuto au kuandikiana barua  kutuma kwa umpendae, yamepitwa na wakati kwa kizazi hiki, mwanzo vitu hivyo vilikuwa vinaleta mapenzi na hisia za ndani kwa kila mtu.

3 553

Uwazi na ukweli: ningekuwa nimepata sifa ya  ushindi Ulimwenguni  kwa jinsi nilivyoshindwa katika mahusiano .

0 62