Posts in tag

mapenzi ya kweli


Ridhaa ni rahisi: Usifanye kitu na mtu ambaye hataki kufanya hicho kitu.Usimkiss mtu ambaye hataki  kukukiss wewe, Usimguse mtu ambaye hataki umguse.

0 47

Mara nyingine , soulmate anaweza asiwe ni mume wako Nilipokuwa na miaka 18 na Billy wakati huo ana miaka 20 tulikutana kwa mara ya kwanza.

0 44

Kuna maswali common kabisa ya kujiuliza  katika mapenzi. Mara nyinngi ni kama haya; Nitajuaje kama huyu  mtu  ni sahihi kwangu? Nitamwambiaje kama ataweza kuyafanya maisha  ya uwenza kuwa mazuri? Ni …

1 45

Wanasayansi wanasema. Pesa sio kila kitu, watu. Kamwe sitajidai kuwa najua mapenzi , au nina uzoefu mkubwa wa mapenzi duniani, lakini  ni kuongea na wanawake wengine tofauti tofauti  kuhusu wanaume …

0 75

Kujua jinsi ya kupenda na kupendwa.Uzoefu wa kweli wa kirafiki kimapenzi katika mahusiano….

2 70

Mapenzi ni uchaguzi,  tunachagua  kupenda au kutokupenda watu. Watu wengi wanaamini  katika  kupata, wanafikiri  kuna kitu maalumu cha kupata kutoka kwa mtu fulani  kwa ajili yao,  wale ambao wangependa  wachaguliwe …

1 34

Wote tunahitaji mapenzi ya kweli. Urafiki wa mahusiano, romance, connection- hizi zote zinakamilisha    hamu ya kawaida ya mwanadamu.

0 48

Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza  jinsi ya kutumia  maneno matamu

1 1.9k

Kunong’onezana maneno yalio na mvuto au kuandikiana barua  kutuma kwa umpendae, yamepitwa na wakati kwa kizazi hiki, mwanzo vitu hivyo vilikuwa vinaleta mapenzi na hisia za ndani kwa kila mtu.

3 553

Ndani ya post  hii kuna mtu amenionyesha kuwa kuna tahadhari ya haraka  ambayo ni, tafakari   inayokukaribisha kwenye maisha  ambayo yatabadilisha njia ya mtu kuwa sahihi na nzuri

0 43