Posts tagged "mawasiliano"

Kuelewa Hamu Ya Mwenza Wako Itakuongoza Kupata Sex Iliyo Bora

Mwanaume anataka sex muda wote. Mwanamke  yuko kwenye mood mbaya.Mwanaume anataka sex ili kujisikia kuwa karibu. Mwanamke anahitaji kupata hisia ya karibu kwanza kufikia hamu ya sex. Mwanaume anataka furaha ya mwili. Mwanamke anataka kujisikia kupendwa.

Vitu Muhimu Katika Mawasiliano

Sifa ambazo zinasaidia  watu kuwa na umoja wa ndani zaidi. Mara  nyingi wanandoa  wanalalamika kuhusu kuwa na matatizo katika mawasiliano. Lakini kama tukiangalia ndani zaidi , Kuna misingi yenye sifa  ambayo ni muhimu kwa ajili kujenga afya ya mahusiano , Urafiki  kwenye mahusiano. Wakati unapotambua na kufanyia kazi,  tunakuwa kwenye nafasi ya kuwa na ukamilifu. .

Kusikiliza Kwa Kina Ni Upekee Katika Mahusiano Yote

Watafiti wameonyesha kuwa wale wanaosikiliza kwa makini  wamekuwa na mafanikio makubwa katika mahusiano yao. Katika sehemu nyingi ambazo nimegundua katika mahusiano kuna mtu mmoja anayeongea sana na mwingine huwa anasikiliza . Lakini... Msikilizaji  anasikiliza kweli? watu wengi hufikiria kuwa wao ni wasikilizaji wazuri.

Kukua Ni Ngumu Bila Hiki

Yote yanaanzia hapa. Ili konteina lako liwe  salama  ni muhimu  liwe wazi. Kumbuka kuwa conteina lako ni Akili, Hisia,  na maisha ya mwili wako ni nafasi  iliokuzunguka  ili kukulinda  unapokua.

Nani Analala Vibaya ,Mwanamke Au Mwanaume?

Sababu inayotufanya kulala vibaya ni kulala karibu ya mwingine. Wanasayansi wamethibitisha  kuwa mtu anayekoroma zaidi  ni mwanaume sio mwanamke. na mara nyingi wanawake wanashindwa kulala kwa sababu ya kelele hizo za kukoroma. Ni asilimia ndogo tu ya wanawake wanaokoroma . kwa nini

Hakuna Muda Wa Kutosha

Muda Hautoshi hata siku moja. Muda hautoshi kwa kila mtu kukamilisha kila kitu anachokitaka, Hakuna muda wa kutosha kuanza kujaribu kuwa na furaha. Kila mara kuna kitu kikubwa, wakati mwingine  ni umuhimu wa ulimwengu.

Mnaweza Kuwa Sio Wakamilifu, Na Mkapendana Kama Mna Wazimu

[caption id="attachment_4606" align="alignnone" width="640"] wanapendana[/caption] Mnaweza kuamini, kuachilia, Kucheka na kuacha wasiwasi wenu wote nyuma  na mkaanza kusonga mbele. Maisha haya ni mafupi sana. Usitake kukosa , katika uwezekano, nafasi ya kuwa na furaha na mwenzako.  usijidanganye moyoni mwako kuwa  humjali.