Posts in tag

mawazo


Muda wowote familia  inapokutana na mwingiliano fulani  hubadilika.

0 65

Mbinu Itakayokusaidia kutambua na kubadili mawazo  mabaya yanayokuja kwako mara kwa mara .

0 49

Mama yako anaweza kuwa amepitia mahusiano ambayo hayakustahili kupitia. Hakujiona kuwa anastahili kupata  furaha  na amani kwenye mahusiano yake,

0 43

Wote tunatamani kujiamini. Tunataka kuamini kwamba ipi misingi  ya wema  ndani yetu, Uwezo wa kupenda, kuwa wakweli, kuwa na Hekima na kuhudumia  Ulimwengu wetu.

0 47

Hii ndio hasa mtu anapomaanisha wakati anaposema  Sijambo. Kwa mtu yeyote ambaye anasumbuliwa na tatizo lolote la kiafya au tatizo lingine,  mara nyingi huwa ni ngumu kujielezea  wanapoulizwa wanajisikiaje. Mawazo …

0 34

Bila shaka  kwamba kwenye maisha unaweza  kuondokana na masikitiko na tamaa au majuto.

0 64

Kitu gani kinawarudisha watu nyuma kutoka maisha ya kweli wanayohitaji kuishi? Naweza kusema ni kutokana na kufikiria kupita kiasi. hufikiri kupita kiasi kila tatizo dogo linapokuja na hatimaye kuwa kubwa

0 34

Dhiki hii ni kitu fulani ambacho tunahitaji kuepukana nayo kwenye hisia zetu ambazo hazipo. Maisha ya siku hizi ni busy, kila kitu busy.Na kiasi cha stress kinakuwa juu kwa hisia …

0 42