Posts in tag

msamaha


Jifunze Kuwa Mtu Wa Shukurani. Badala ya kulaumu, kulalamika, kusononeka, kujikataa,  jaribu kwenda kinyume na hivyo.  Achana na maombi ya kupigana, kuvunja, kulia, kufunga. zaidi sana anza kuwa mtu wa …

0 52

Msamaha ni zawadi  tunayotoa kwa ajili yetu wenyewe. Msamaha hauhusiani na jinai au uhalifu wa  makosa ya mtu. Ni kuhusu kuondoa mizigo ilopo ndani yako mwenyewe ili usiwe muathirika.

0 34

Utawezaje kujisamehe mwenyewe aina ya msamaha ambao  hauwezekani? Umefanya kosa fulani au umemuumiza mtu  mwingine au mwenyewe,  Na sasa unajisikia hasira, unajilaumu, unajiona una hatia, una huzuni, au unajisikia aibu.

0 51

Maisha bila Upendo hayana  maana, Mahusiano ya kila mtu yanahitaji upendo uliopo ndani ya moyo wa mtu. Hutaweza kumpenda mwenza kama hujaweza kuipenda nafsi yako, hutaweza kumpenda Mungu, na hutaweza …

0 41

Sababu kubwa inayoleta matatizo kwenye mahusiano —na  huenda ikawa ni kubwa zaidi—Ni Hukumu. Ikiwa na maana ya mtu kujihukumu mwenyewe na kuwahukumu wengine.

0 52

Wengi wetu tunafikiria kuwa tunafahamu kuomba msamaha  vizuri.  Lakini fikiria mara ya mwisho  ulipokuwa unaomba msamaha.  Inawezekana mwenza wako alisema kuwa ,  nasikitika umejisikia hivyo, lakini sio kusema nasikitika nimefanya …

0 65

Ni lazima kumsamehe mama  ambae  hakuonesha upendo kwako? Nafikiri msamaha ni maamuzi ya kipekee, Na hakuna ndio au Hapana . Nafikiri hio  haijalishi nani atafikiria nini  hili neno Msamaha.,

0 46

Kama unajielewa na kuwa na  uhakika wako mwenyewe, halafu unafahamu kwamba sio kila mtu maishani mwako anaweza kukubaliana au kukusaidia  kwa kila maamuzi unayofanya.

0 60

Uko tayari kwa siku hii?  sina maana kuwa upeleke maua au kadi kubwa, nina maana kuwa ni siku ya furaha kwa mama. kuna wengine wengi tu hawana mahusiano mazuri na …

0 72