Posts in tag

NDOA


Agano ni kubaliano Fulani ambalohuambatana na vitendo katika makubaliano hayo ili kutimia kwa kusudi/ahadi inayotegemewa kupitia utekelezaji huo.

0 99

Watu pekee wenye Furaha ya kweli, ni wale tu waliojifunza jinsi ya kufikiri kama mtumishi na kutenda kama mtumishi. Lakini  Mtumishi wangu Elizabeth, kwa kuwa alikuwa na Roho nyingine ndani …

0 84

Kitu cha mwisho ambacho watu wanahitaji wakati wa mahojiano au migogoro ni  katika kuingiza Upendo,  joto la upendo.

0 75

Utafika wakati unajikuta mwenyewe nyumbani,  Usiku uko mwenyewe unapojifunika blanketi na kuweka akilini mwako kuwa uko alone.

0 69

Wapo watu unaowafahamu , wa kawaida na hata wale wanaojulikana , watu maarufu, wakati mwingine wanajikuta kupitia hali hii ya upweke na kujiona kama wametengwa.

0 75

Kuna wanawake ambao hupenda watu wawathibitishe , wawapende ili wajisikie kuwa na nguvu, 

0 98

Ufalme wa Mungu hupatikana kwa nguvu na wenye nguvu wauteka.  Omba usiku na asubuhi ili uweze kuona matokeo haraka.

0 94

Watu wengi wanafikiri  kwamba  maisha hayana fomula , sio kweli. Maisha yana fomula yake. Ukitaka uwe tofauti na ulivyo sasa, ni lazima uifahamu fomula ya maisha.

0 62

Kuwa single ni kuwa mkamilifu, lakini watu wengi wanafikiri kuwa ni laana au kukosa bahati. Wanawake na wanaume wengi wanaishi kwa masikitiko wakifikiri kuwa hawana ngekewa ya kupata wenza.

0 57

Yeye ni sababu ya kila kitu. Mungu ni Nuru. Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake , Viko kwa uweza wake. Tena vinarejea kwake.Utukufu una yeye hata milele.

0 60