Posts in tag

nguvu


Wapo watu unaowafahamu , wa kawaida na hata wale wanaojulikana , watu maarufu, wakati mwingine wanajikuta kupitia hali hii ya upweke na kujiona kama wametengwa.

0 75

Kuna wanawake ambao hupenda watu wawathibitishe , wawapende ili wajisikie kuwa na nguvu, 

0 98

Vitu vitatu vilivyopo kwenye Chanzo cha akili ya mtu. Hofu, Maumivu na kupoteza nguvu ya kutawala. Aina hizi tatu za chanzo cha hisia.

0 67

Usijikatie tiketi ya kuacha kwa ajili  yako wewe mwenyewe. Huenda uliingia katika njia ya waovu na hukujua kama uko humo. Ukazidi kutembea katika njia zao mbaya. umefika katikati mambo yamekuwa …

0 47

Kitu gani ni vitamini C Yako? Unahitaji nini?  Zoezi: Kuza Nguvu yako ya ndani. Kwa nini? 

0 46

Watu wanafundishwa kusali. Ni kweli , ni kweli kabisa. Zipo kanuni nyingi, kuna kanuni za kiaskari, Zipo kanuni za ufalme wa Mungu. Maombi ni ushirika kati ya mwanadamu na Mungu.

0 80

‘’Nimekata tamaa sidhani kama nitafanya  hiki kitu’’  Kila mtu amewahi kusema hivi katika moja ya njia zake katika maisha. Lakini kabla hujaanza kujisemea mabaya . sema haya mambo 10 ili …

0 75

Kama unapenda mazoezi utakuwa karibu na watu wanaopenda mazoezi, au hata kama utakuwa umeamua kufanya mazoezi nyumbani kwako, hio ni kupenda kweli hali ya kuwa mtu wa mazoezi.lakini kwa sababu …

0 47

Ni kuhusu  faida za ubunifu ambao  wanawake wanatakiwa kufanya –kwa sababu wanawake wengi wanakosa  njia hizo za ubunifu.

0 34

Inaoneka katika jamii kuna mambo kadhaa ya muhimu husahaulika, matokeo yake yanakuja mambo ya kichanga au ya kitoto.

0 71