Posts in tag

SHUKURANI


Agano ni kubaliano Fulani ambalohuambatana na vitendo katika makubaliano hayo ili kutimia kwa kusudi/ahadi inayotegemewa kupitia utekelezaji huo.

0 99

Jifunze Kuwa Mtu Wa Shukurani. Badala ya kulaumu, kulalamika, kusononeka, kujikataa,  jaribu kwenda kinyume na hivyo.  Achana na maombi ya kupigana, kuvunja, kulia, kufunga. zaidi sana anza kuwa mtu wa …

0 52

Hatuwezi kuishi bila Upendo. Tunabaki na upungufu  wetu  kama hatutakuwa na uzoefu wa kupenda. Tunahitaji upendo zaidi kuliko  hata hewa tunayoivuta. Bila hivyo. maisha yetu hayana maana. tunapoteza  ukaribu wa …

0 60

Kuna nyakati kila mtu  kwenye maisha  wakati akili yake inaposimama, na haiwezi kufanya kazi kwa sababu  shida alionayo wakati huo.

0 45

Sio muda mrefu uliopita moyo wangu uliangamizwa. kitu kizuri ni kwamba haikuwahi kutokea kwangu. Sitegemei kutokea tena kwangu.

0 46

Kitu bora cha kumpa adui ni msamaha. kwa mshindani,  kukubaliana; kwa rafiki, kwenye moyo wako; kwa watoto wako. mfano mzuri;

0 42