Posts in tag

ufahamu


  Lazima uwe na jukwaa la taarifa zinazokuwezesha kuvuka sehemu moja ya maisha kwenda katika kiwango cha mafanikio, kwani chochote kile kwenye maisha kinakua kwa taarifa unazozipata taarifa hukuza akili …

0 80

Kuna wanawake ambao hupenda watu wawathibitishe , wawapende ili wajisikie kuwa na nguvu, 

0 98

Ukiona mtu amekuzidi kwa kitu chochote, tambua kuwa kuna kitiu amekiona ambacho wewe hukioni.

1 59

Utajuaje Lugha  ya mapenzi inayomfaa mwenza wako?  Kila mtu hupendelea kitu tofauti.

0 72

Imani ni sasa. Ni sasa hivi.  fahamu maarifa yatendayo kazi na neno la Mungu. Unachokiamini unakisema. unakuza imani kwenye matendo sio maneno. Kuishi  kwa imani sio kwa kuona.

0 46

1.Watu wengi huacha kusoma vitabu mara tu wanapomaliza shule, Usiwe mmoja wa wale. Kazi yako kubwa siku hizi ni kusoma, japo utaanza kushangaa kusikia hivyo.  Nasoma kazini,nasoma sehemu nyingine mbali …

0 49

Utampoteza pale ambapo utafanya mambo ya kijinga, kwa kufikiria kuwa  atakubaliana na kila unachokitaka. Kwa kufikiri atakubaliana na muda wako wa kijinga usio na thamani kwake.

0 61

Matatizo yanatokea kwa sababu haturuhusu mabadiliko yatokee. Tunayakataa, tunataka vitu hivyo hivyo. Kama unampenda mwanamke , unamtaka pia kesho,  vile vile kama ambavyo uko nae leo.  Ndio maana matatizo yanatokea, …

0 48

Ni miaka mingi nimekuwa nikijiuliza swali hili, nitawezaje kumpenda Mungu kwa moyo wangu wote, kwa akili zangu zote na kwa nguvu zangu zote? Kila nikisoma maneno haya  moyo wangu unaugua, …

0 114