Tofauti Kati Ya Uongozi Wa Kiungu Na Mwanadamu


100 Tofauti Kati Ya Uongozi Wa Kiungu Na Mwanadamu

Uongozi kiungu  unatoka kwa Mungu, Ina maana sio wa mwanadamu bali ni wa Mungu. Mwelekeo ni wa Mungu. Kufahamu ni mahali gani , ni kitu gani,  na ni wapi,  wakati  gani na muda upi.

Mwelekeo wa Mungu unaongozwa na roho mtakatifu. Kwa kutii neno lake, sio kujiongoza bali kwa kutii, hapo utakuwepo ndani ya uongozi wa Mungu.

Tofauti zake 

1.Ukiongozwa na Mungu hutaweza kupata taabu , lakini ukiongozwa na mwanadamu  utapata taabu ya Duniani,

2.Uongozi wa Mungu una Amani na utulivu. lakini wa mwanadamu una  kuna vizuizi.

3.Uongozi wa Mungu ni salama na  una mafanikio ya kudumu na una faida nyingi.

4.Ukiongozwa na mwanadamu utachananyiwa, utakatishwa tamaa.

5.Ukijiongoza mwenyewe utakuwa unatembea katika uasi.

Umuhimu wa kuongozwa na Mungu.

DSC_4368-1024x681 Tofauti Kati Ya Uongozi Wa Kiungu Na Mwanadamu

Kufanikiwa katika  maisha yako yote.

Uwepo wa Mungu hautaondoka maishani mwao.

Ni haki ya kila mtoto wa Mungu  kupata mafanikio

Utapokea ulinzi wa kiungu.

Utapokea ukamilisho na  Mpango wa Mungu maishani mwako

Kwa Nini Mungu Anataka Akuongoze.

Ili akufahamishe mapenzi yake. ili ufanikiwe,

Anakuongoza usipatwe na mabaya, anakuweka mbali na uharibifu.

Mashariti au vigezo vya  kuongozwa Na Mungu.

Uwe mwana wa Mungu

Uwe mnyenyekevu

Tumia muda wako vizuri. tumia imani yako.

Kuwa na imani na kuthubutu

Vitu vinavyokusaidia kuwa katika uongozi wa kiungu.

Uwe na ushirika na roho mtakatifu

Utulivu wa Roho

Enenda kwa upendo.

Uhuru wa roho. kuwa na mahusiano mazuri na wengine.

Ujasiri wa Mungu, Furaha ya krito, Utii wa neno la Kristo. moyo ulio wazi, umakini wa kiroho.macho ya kiroho.

Vizuizi vya uongizi wa Mungu

Hofu, Mashaka, Dhambi, Kiburi, Uvivu wa Roho, Kiburi, wasiwasi na Mila.

Tabia za Mungu katika Uongozi 

Neno la Mungu linakuwepo, Amani kamili,  Upendo, Ujasiri na uhakika. Uongozi wa Mungu hauko kinyume na kanuni za maisha  katika njia sahihi.

Kupitia mazingira magumu, kupitia  watumishi, mashauri ya kiungu.

Mkumbuke Mungu, Msifu Mungu , Mshukuru Mungu.

Kila baada ya dakika 60 mshukuru Mungu. Kila inapofika saa Kamili Mshukuru Mungu ,Utaona tofauti kubwa katika kila kipengele cha maisha yako.

Subscribe kupata makala mpya kila mara.

Previous Hii Ni Njia Sahihi Ya Kupunguza Uzito Wako
Next To Do List 2018. Gods 24hrs Economy

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.