00-tell-the-truth-1024x512 Ukweli Mbadala Katika Mahusiano Ya Kimapenzi

Tumekuwa tukiongea zaidi kuhusu  uongo uliopo, kwamba urafiki wa kimapenzi  una madhara, Lakini ndio hivyo?  Na hatuongea hivi?  

Taarifa za kwenye vyombo vya habari hazina ukweli kwako?  hata hivyo unaweza kuchukulia na hali halisi kutegemea  na story ilivyo. Ni kweli ni taarifa, ni kweli ni fake na  tumeona kila kitu kinachosemwa ni cha kweli lakini  hakina ukweli kabisa ndani yake.

Lakini ni vipi kuhusu udanganyifu unaotokea kwa hawa watu wawili?  Kama tunavyoona  kiwango cha uongo  uliopo  kwenye  jamii,  tunatakiwa pia kutazama kwa jicho lingine  kwa wale waliopo karibu yetu. hasa  wapenzi wetu.

Ni kutazama kwa kiasi gani watu wanadanganya?  ni kiasi kikubwa.  Fikiria katika hali ya kila siku .Kwa kiasi kidogo. kwa kila mazunguzo mnayokuwa nayo. kuna moja halina ukweli. Na wenza hao hujionyesha kuwa waaminifu kwa wapenzi wao kuliko kitu kingine. Wanajidanganya. Kwa mfano, Kuna ushahidi kwamba  watu hudanganya kwa wake zao au waume zao kwa asilimia 10 kwa kila muda.

Asilimia 64 kati yetu tunaamini kwamba  ni sawa kudanganywa, tumejidanganya wenyewe. Na kuna wengine wanasema kuwa ni sawa kumdanganya mtu kwa ajili ya  kuokoa akili yake. Ni sawa, lakini kumbuka kuwa ukweli unasimama pale pale . ingawa ukweli siku zote unaumiza. ni bora kusema ukweli. Kwa sababu  ukweli huo utaokoa akili ya mtu mara mia kuliko mara moja. Mfano mdogo kwa wenza. Utakuta mume au mke anampongeza mwenzake kupika chakula kizuri au Kumpongeza mume au mke kuwa amejituma vizuri kwenye  ngono kumbe hakuna kilichofanyika. Anafanya hivyo ili asiharibu hisia za mwenza wake. Ukweli unabaki hapo hapo kwamba   hakufurahia sex. Ni kitu gani basi ? kwa nini usimwambie ukweli ili atafute njia nzuri ya kukuridhisha?

images-5 Ukweli Mbadala Katika Mahusiano Ya Kimapenzi

Uongo upo mkubwa, watu wanaishi na huo mpaka kwenye mahusiano. Mtu ambaye unampenda huwezi kumwambia  i love you, bila ya kumaanisha unachokisema . Unakuwa unaepuka  ukweli uliopo kati yako na yule mtu ambaye unamtaka kujua yu hali gani.

Watu hawatazamani machoni , hawashikani mikono yao , Hawataki kupata hisia za kila mmoja, hawataki kujiruhusu  kufahamu hali halisi ya mwingine, Wanaogopana kwa kuwaziana mabaya kila wakati… Wanabaki kuumia na  kufa na baridi yao huku mikono yao wakiwa wameificha mifukoni. Kwa nini sasa usimkumbatie mtu , usimshike mikono yake na kumtazama machoni?  Upo uongo ndani yako.

Utaendelea kuficha hisia kwa kujidanganya kuwa unaokoa hisia za mwingine. ni makosa makubwa kufanya hivyo. Onyesha  hisia zako ili upone na umponye huyo mwingine pia. Lakini je ukifanya hivyo inasaidia?  Inaboresha mahusiano yako ya kimapenzi?  kama ukiendelea kudanganya kwa watu unaowapenda na wengine , utajiweka kwenye matattizo makubwa. Sema ukweli.

images-4 Ukweli Mbadala Katika Mahusiano Ya Kimapenzi

Uongo kwenye mahusiano unaharibu na kutenganisha umoja wenu, kwa mfano kama mwenza wako atagundua kuwa kuna jambo la siri ulilonalo juu yake ataondoa uaminifu kwako. Hata kama utamwambia kitu cha kweli kingine hataweza kukuamini ,  utapunguza ukaribu wenu, udanganyifu unaondoa nguvu moja,kinyume cha kukosa uaminifu– utapata ugumu kujenga uaminifu upya , kitu ambacho mwenza wako anakitaka kwako.

Kwa hio tutawezaje kuwa waaminifu na kuweza kusambaza ukweli huo katika  mahusiano yetu ya kimapenzi?  Kumbuka nyakati ambazo unatakiwa kuwa mkweli hasa kwenye hisia zako, unapokuwa uko salama . Iwe ni point ya moja kwa moja, kwa sababu  wakati mtu anapokuwa anahisi kupendwa na kuwa katika hali ya usalama hataweza kufikiri uongo.atakuwa anaamini kile unachosema.

Mwisho nafikiri ni vizuri kama ukifikia hali ya kujikubali, kujipenda, na urafiki wa karibu wa kimapenzi, kuchukua risks ya kuwa mkweli zaidi kuliko  kuwa mdanganyifu, Tutapata na kutunza upendo tunaoutafuta.

= Kuna Namna Ya Kumjua Mwanaume kuwa Sio Mwaminifu

= Kitu Cha Kukusaidia Unapopata Upweke Wa kukuzidi Kutokana Na Talaka Uliyoipata

Kama umependa makala hii washirikishe wengine wajifunze.

Kisha usisahu , Subscribe ni bure kabisa  ili kupata makala mpya .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here