hambre-cada-3-horas-picar-entre-horas UNAPOKABILIANA KWA HEKIMA NA UATHIRIKA WA CHAKULA;

Unapofanya kazi kwa bidii na kukabiliana na utata ulipo kwenye chakula, itaonekana kama hutaweza kuendelea  tena , kwa sababu hali ya kulemewa na kula zaidi au kula vyakula ambavyo hutakiwi kula huja tena.

Ukweli ni kwamba, Ni kawaida wakati mwingine kula kitu unachohitaji kula ukiwa kwenye safari yako ya kuepuka  baadhi ya vyakula. Unaweza kufanya vizuri.  Halafu umepata promotion kazini  na hisia zako za zamani  ambazo ulikuwa unajiona kukosa usalama zinakurudia.

Kitu kinachofuatia ambacho unakifahamu,  upo mbele ya friji yako na mkononi huna katoni ya bia na soda. Au ungeweza kukutana na mwenza ambaye ungeweza kujenga naye mahusiano mazuri, lakini  unakumbuka kuwa bado  una aibu kutokana na mwili wako mkubwa ambao  unahitaji kuuweka vizuri.

Usikate tamaa, kama unazifahamu fikra, hisia  mapungufu, au  kula sana kumerudi kwako.Kwa sababu zingine,  watu hutegemea kupata maisha sahihi. Hii ni hali ya kawaida. wakati mwingine. tunasahau kuwa maisha ni maisha tu. Yanakuwa mazuri na wakati mwingine mabaya. sio tatizo kubwa. Ukweli huu upo katika kujikubali mapema.  hakuna njia sahihi ya kuponya. kwa kweli; hamu ya kuwa sahihi inatoka kwenye kugundua  mawazo yako na kuamini kwako kwamba unatakiwa ule kiasi , na kila kitu ni kiasi . kula  kama dawa. ingawa ni ngumu, lakini inatakiwa kuamua.

conoce-por-que-comemos-chatarra-cuando-estamos-cansados UNAPOKABILIANA KWA HEKIMA NA UATHIRIKA WA CHAKULA;

Kwa hio utafanyaje kama utakuwa umerudi kwenye tabia yako ya zamani?

Kama umerudi katika hali hio, endelea kula taratibu kwa kusikiliza hicho unachokula , kula tu chocolate bar,  furahia kila kitu , nyama za kukaanga, kuchoma,  kunywa pombe. lakini kila kitu kula kwa kusikilizia ndani ya mwili wako. Utajisikia jinsi hali yako inavyobadilika. Hio ni muhimu sana utajifunza . badala ya kufuata mbinu nyingi za kuachana na kula chakula. Kwa kupitia usikivu wako unapokula , utaweza kuchagua chakula ambacho ni kizuri kwa ajili yako taratibu sio haraka. hutatumia akili nyingi katika kuepuka aina ya vyakula.

Kuwa mkarimu kwa ajili yako mwenyewe. Unaweza kuwa na fikra kama hizi,  nimeharibu kila kitu, sina nguvu tena ya kuendelea kufuata mtindo mzuri wa kula, sitaweza kuepukana  na matatizo yangu. Epuka kujilaumu. Kujihukumu itakufanya ukose tumaini na utakuwa mwenye hasira,  na utaanza kula kupita kiasi tena ili kukubaliana na hizo hisia. Kumbuka  uko kwenye kipindi cha kujifunza . Kama mtoto anapojifunza kutembea, hakuna mtu anaweza kumlaumu kwa kuanguka mara kwa mara. Usijilaumu hata kama umerudi kula kupita kiasi. ni kuanza tu upya tena. hakuna tatizo katika hilo.

40ECA6B900000578-4552998-image-a-9_1496096671152 UNAPOKABILIANA KWA HEKIMA NA UATHIRIKA WA CHAKULA;

Jifunze kutoka kwenye uzoefu unaopata kutokana na makosa unayoyafanya. Unayo nafasi ya kujifunza kitu kuhusu wewe mwenyewe, mwili wako, imani yako, au mawazo yako.Kwa hio jifunze. Kama utakwepa chai asubuhi na chakula cha mchana , halafu jioni ule kila kitu ambacho ulitakiwa kula siku hio. huenda hukupoteza chochote. huenda ulikuwa na njaa sana, na kama ukila zaidi itasaidia?.

Huenda unatakiwa kujiruhusu  kujiponya kawaida. unatakiwa kuongeza mbinu mpya  ya kufanya uchunguzi kwa ajili ya afya yako. endelea kuchunguza, na kumbuka kuwa mwili wako kila mara unakupa dalili. ni juu yako kusikiliza.

Ufunguo  wa utambuzi ni kuwa rahisi. Ni kama unavyohitaji kutengeneza  urahisi wa mwili kwa kufanya mazoezi, unahitaji kuendeleza akili yako iwe rahisi ili usiwe mtu wa kufikiria tofauti. Kubadilika kwa akili yako ni sehemu ya  uponyaji  pamoja na huruma  unapokuwa umefanya makosa. Pia ni muhimu kukubali kuachana na imani za zamani  kwamba  hazifai hata kidogo.  Na unapokuwa rahisi kwenye kiroho chako, Utaanza kukua kama mtu pekee.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here