VIFAHAMU VYAKULA 5VINAVYOSAIDIA KUWEKA SAWA HOMONI:


CHAKULA.

Wakati  homoni zikiwa na tatizo mwilini mwako utaelewa tu , maana kuna dalili utaona , mara utasikia kuchoka bila sababu , uzito kupungua,  hutapata usingizi vizuri usiku,nguvu zinapungua na kuwa na mawzo mengi.

ukiona dalili hizi ujue kuna tatizo la homoni mwilini, unatakiwa  kufanya vifutavyo,

1 .fanya kumuona dakitari kwa check up

2.angalia chakula unachokula .

Mara nyingi vyakula tunavyokula sio   vya msaada  kama dawa, havitusaidii kuweka homoni sawa,uwezo wa kutengeneza homoni za mwili hupungua kutokana na vyakula tunavyokula. vyakula vifuatavyo  vinasaidia.

1.MAFUTA YA NAZI

wataalamu wanasema mafuta ya nazi ni mazuri kwa kutumia  , kwa sababu nazi haina mafuta mabaya, pia nazi inasaidia kutengeneza  homoni za mwili wa binadamu , pia nazi haina lehemu  inasaidia kutengeneza homoni.

2. BOGA NA MBEGU ZAKE.

Boga ni chakula kizuri , na sio chakula kigeni sana , ni kila mtu anajua boga ni nini,  unashauriwa kula maboga na mbegu zake , hasa m,begu zake zikiwa kavu  ni nzuri zaidi kwa kutengeneza homoni za mwili.,wataalam wanaSEMA MBEGU ZA MABOGA KAVU PIA ZINASAIDIA KUPUNGUZA  SARATANI YA MATITI KWA WANAWAKE. Pia husaidia kukuza mifupa

wanawake wanaotumia hizi mbegu  wanajiepusha na matatizo haya ya saratani,  kula boga kausha mbegu zake  , tumia kama dawa.

3.BROCCOLI

download-2 VIFAHAMU VYAKULA 5VINAVYOSAIDIA KUWEKA SAWA HOMONI:

Hii ni aina ya chakula ambacho unaweza kuchanganya na mboga nyingine, inasaidia kutibu  magonjwa ya kisukari, inarekebisha sukari mwilini,inasaidia kuweka homoni  sawa, unatakiwa kula hiki chakula kila siku kwa wingi, pia kinasaidia kuondoa mafuta mwilini  .

4. AINA HII YA SAMAKI

download-3 VIFAHAMU VYAKULA 5VINAVYOSAIDIA KUWEKA SAWA HOMONI:

Samaki kama huyu ni mzuri kwa utengenezaji wa homoni  za mwili, tumia aina hii ya samaki  ikiwezekana kila siku , tena  ule alichemshwa tu sio kugaangwa . kama siku hutumii samaki , tumia mafuta ya samaki kwa ajili ya matibabu,.

5 .MAYAI.

Tumia mayai ya kienyeji   yatakusaidia kutengeneza homoni za mwili , pia mayai ya kienyeji husaidia kuondoa woga na  kuepuka hali ya wasiwasi, inasaidia pia kutengeneza misuli na kusaidia ubongo wako kukua vizuri na kufanya kazi vizuri. mayai yanafanya homoni kukaa sawa,

Unapokuwa na hali ya woga na wasiwasi , tengeneza mayai kula , utajisikia vizuri.mayai ya kienyeji.

unaweza kutumia vyakula vifuatavyo .  tumia kama chakula sio mboga., maharage, njugu dengu na kunde.

toa maoni yako katika  vyakula  vya dawa.

 

 

Previous JE WAJUA HATUA ZA KUPATA ,NJIA 5 ZA KUANGALIA
Next NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.