Vitu 18 Vya Kuacha Kabla Ya 2018


1-1024x1024 Vitu 18 Vya Kuacha Kabla Ya 2018

1.Kutuma vitu  kwenye mitandao visivyokuhusu

Usifanye mitandao kama diary yako

2.Kutotumia Maji ya Kutosha.

Kabiliana navyo, unahitaji kupata maji ya kutosha. Ngozi yako inahitaji, akili yako inahitaji, ubongo wako unahitaji, misuli yako inahitaji. Tumia maji.

3.Kumpa kitu mtu asichokipenda, kitu ambacho kinakurudisha nyuma

Kila kila mtu anakipenda kitu unachokipenda wewe.

4.Kutosikiliza moyo wako.

5.Kuwalaumu watu wengine kwa sababu zako mwenyewe , kuwa hauna furaha

6.Kuongea kuhusu mabadiliko lakini wewe mwenyewe huchukui vitendo vya mabadiliko.

7.Kukazana kusema kuwa hakuna unachokiweza

8.Kusema utasonga mbele kama utafanya kitu fulani.

9.having bad sex

10.Kwenda mahali ambapo ulikuwa hutaki kwenda.

25006663_1566371433412758_9085560164257366016_n Vitu 18 Vya Kuacha Kabla Ya 2018

11.Kutojipa muda wa kupumzika wewe mwenyewe.

12.Kusema uko sawa kumbe una matatizo

13.Kusikiliza sauti ya ndani inayokuambia kuwa sio mkamilifu.

14.Kurudia makosa mara kwa mara.  makosa hayo hayo unarudia kila siku.

15.Kukataa kuthubutu

16.Kujidanganya mwenyewe.

17.Kushindwa kuwa wakili wa maisha yako mwenyewe

18.Kujifanya  kuwa huwezi kubadilika  na kuwa tayari kuanza kitu kipya.

Previous Umesahau Kununua Zawadi Kwa Ajili Ya Mwenza Wako?
Next Njia 7 Za Kutumia Muda Peke Yako Zitabadilisha Maisha Yako

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.