Wakati Mwingine Mapenzi Ni Rahisi


African-American-couple-1024x682 Wakati Mwingine Mapenzi Ni Rahisi

Sio kwa  namna ambavyo mnakiss

Sio kuhisi utamu kama asali

Sio kujihisi kama uko hewani wakati uko chini kawaida

Au kwa namna ambavyo mnafurahi

Hata kama mnafahamiana kwa miaka mingi kiasi gani

Wala sio kwa miezi michache baada ya kufahamiana.

Sio kwa namna ambavyo macho yako yanavyotazama macho yangu

Kama vile unaona ramani unaichora kichwani mwako

images-5 Wakati Mwingine Mapenzi Ni Rahisi

Sio kwa namna ambayo utanichukua nyumbani kwako

Wala sio kwa namna ambayo utanifanya niwe wako maishani

Sio kwa njia ya sex kama wengine wanavyofikiria

Ni njia rahisi tu. Njia ambayo ulitumia kunifahamu kabla  sijaamua au kukubali kufahamika kwako.

young-african-american-couple-remote-footage-000826510_prevstill-1024x576 Wakati Mwingine Mapenzi Ni Rahisi

Ni jinsi ambavyo umenikubali jinsi nilivyo

Ni mapenzi ambayo hayahesabu kitu chochote.

Ni furaha na amani  iliopo kwako na kwangu.

Ni Mungu tu.

Previous Usiseme Eti Kwa Sababu Mama Amepitia Mahusiano Mabaya Na Wewe ...Hapana
Next NURU YA MUDA ( THE LIGHT OF TIME)

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.