Parenting-by-Talking-to-Your-Children-Like-Theyre-Adults-MainPhoto WAMAMA WATULIVU WAMEONA JINSI KAZI ILIVYO--KUSAWAZISHA MAISHA

Kuwa mzazi ni changamoto kubwa, Hata kama utaamua kukaa nyumbani  kujaribu kuweka sawa  kazi na  maisha ya familia .

kuna mambo mengi, kujipenda, kusamehe, na kuwa na uvumilivu,ili kutunza mambo yote yaende vizuri.

Kama mama  pekee wa watoto watatu ,  nimekuwa nikiona kuna ugumu wa kuanzisha mahusiano mapya  kwa muda huu. Mwanzoni,  nilikuwa naona taabu, na matokeo yake  nikajiona kama sina ukamilifu, au  kuona mwenyewe kukosa nafasi ya kuwa karibu na watoto, na kunifanya nisifurahie mafanikio  baadhi ya sehemu.

Kwa hio, Nilivuta pumuzi ya nguvu , na kuamua kufanya maamuzi sahihi ili  kuwajengea misingi mizuri ya maisha na kupata uwepo wangu zaidi. Nilifanya kazi kwa bidii na kuanza kugundua kuwa uwezekano upo wa kufurahia maisha hata kama sipo kwenye mahusiano  mengine. Ni ngumu kidogo kama hukuchukua uamuzi wa kutosha .

Kusoma mambo ya ushauri wa jinsi ya kuwa na muda  kujijali na kuwa na busara kufanya maamuzi kwa ajili ya kufanya kazi na  kuwajali watoto.

1.Watoto waone impact yako ulimwenguni kilicho kikubwa

Kanuni tunazojiwekea wenyewe  kutenganisha vitu, mara nyingi inasababisha wasiwasi  kuliko kuwa na mipangilio yako mizuri.Tumekuwa tukifikiria kuwa  kutumia muda mwingi  kuwa na watoto ndio malezi mazuri , ya kwamba watajisikia muda wote tupo pamoja. Hiki kitu sio kizuri,  watoto wanatakiwa kujua kuwa mama ana bidii katika kazi  na kupata uelewa kuwa kazi ndio msingi wa maisha.  Na ndicho kitu kinachotutambulisha sisi.

Kama mzazi wakati mwingine waonyeshe watoto unachokifanya , na waweze kuona watu jinsi wanavyofanya kazi  hapo ofisini kwako. Kama mtoto atajifunza  kitu kikubwa anachokiona  katika jamii .

Kama huwezi kuwaruhusu watoto watembelee ofisi yako,  kutafuta njia ya kuwaonyesha  unachokifanya  wakati ukiwa haupo nyumbani pamoja nao , itamfanya mtoto sio tu kujiona  yuko salama  wakati ukiwa haupo lakini pia  watakufahamu vizuri.

2.Acha waone jinsi unavyofanya kazi kwa bidii.

images-14 WAMAMA WATULIVU WAMEONA JINSI KAZI ILIVYO--KUSAWAZISHA MAISHA

 

Mama yangu anafanya kazi sana kuliko baba yangu , na hicho nilijifunza kitu kwake , na nilipenda kumsaidia kila kazi  wakati nikiwa likizo,  niligundua hilo na kusema nikiwa mkubwa watoto wangu lazima wafahamu kazi yangu , hata kama nitakuwa ni mama wa nyumbani  au mama wa kuajiriwa, na nimejaribu kwa bidii kuonyesha nia hii .

3.Waonyeshe kazi tofauti tofauti

Kuna aina nyingi sana za kazi , na zaidi na zaidi  watu hupata kazi za kuanzia asubuhi  mpaka saa 11 jioni . mimi kwa sasa kama mwandishi wa makala  mbalimbali ,  muda wa kazi yangu inatokea  wakati  wowote niwapo na watoto, naachana nao wanapokuwa wanaenda kufanya homework, wakati wa kulala. Na naelewa huwa wanaona nikiwa  busy na kazi . Watoto wangu wanaendelea na uelewa wa kuwa kuna  kazi nyingi mbalimbali  za kufanya  ni kufungua tu macho  kwa  uamuzi.

4.Washirikishe mbinu zako , Ambazo zinaweza kuwa ni msingi kwa ujuzi wa maisha yao.

Wazazi wanaofanya kazi mara nyingi hufikiri kuacha kazi  zao ofisini, wakati wakiwa nyumbani na familia zao. Ingawa tunaweza kutaka kuacha kuharakisha  au  magumu  pamoja na wafanya kazi wenzetu  kwenda kupata dinner na kuongelea mambo mbalimbali.

Ni vizuri  kuwashirikisha watoto  katika mambo yote ya kazini kwako. Fikiria vitu vingapi tunashughulika navyo kazini, kuweka bajeti vizuri,  mahusiano yalio huru,mahusiano ya ndoa, kuelezea ubunifu, na zaidi. Hizi ndio sehemu muhimu za kuzifanyia kazi pamoja na watoto nje ya kazi zetu. Lakini kazi zetu ziwe ni mfano mzuri kwao. Na wao watakuwa na   Mapendekezo yao, ushauri wao.

Umeipenda hii makala? washirikishe wengi wajifunze

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here