Posts in

Archives


  Hakuna kitu kibaya kama kuumia moyo , kama kuna mtu uliyempenda na kumthamini kukutenda , inakuwa kama umefanyiwa ukatili , watu wengine husikia aibu , majuto, hasira  na huzuni …

0 35

kuongezeka kwa maumivu  ni pale mtu anapokosa utulivu, maumivu ni  dalili ya kitu fulani kilichopo ndani ya mwili  ,au ambacho kipo kwenye akili ya mtu.ni kitu ambacho kina tatizo kubwa …

0 36

Tuanze na swali,  Mimi ni nani?   Ili kutengeneza maisha yako vizuri lazima uwe na maswali  ya kujiuliza ,.chukua muda sasa jiulize mwenyewe  mimi ni nani, kisha chukua karatasi  andika …

2 34

Ni kawaida watu maarufu kujulikana kila kona , yaani kila sehemu akipita  kwa sababu ya  kazi yake  anayofanya ndio inamfanya awe maarufu. haijalishi ni kazi ya aina

0 34

je wewe ni halisi?:Ni kwa nini tunakuwa na kiburu, kwanini tunasema uongo,kwa nini tunamwaga damu za watu wasio na hatia, kwa nini tunawaza mabaya ,kwa nini tunakimbilia maovu  na, kwa …

2 55

Kujiamini ni kitendo cha mtu binafsi kuwa na ujasiri wa kufanya mambo makubwa pasipo msaada wa mtu mwingine ,yaani bila kutegemea mume au ndugu  , ni ile kumtegemea Mungu tu …

0 36

Kumbukumbu ni nini.  kumbukumbu ni kitu ambacho kipo ndani ya ubongo wa mwanaadamu ,ambacho kinamsaidia mtu kukumbuka mambo yaliyopita au kitu cha muhimu ambacho kilitokea ,yaweza kuwa ni mambo ya …

0 50

Furaha ni nini;;,  ni hali inayokuja kwako ndani yako mwenyewe katika ufahamu wako na mawazo yako na sio kiasi cha fedha ulichonacho ila ni  pale unapojua maana ya maisha, na …

0 34