Posts in

Archives


1.KWA NINI NI VIGUMU KUPUU UKIWA SAFARINI? Kuna kItu huwa najiuliza mara nyingi nikiwa niko safarini , hata wewe nafikiri ukiwa safarini  ni ngumu kupata  haja kubwa,  kwa nini, kwa …

0 56

Kuna mwanamke mmoja alisema mbele za watu kwa kujikosha , kwamba hatakuja kumdanganya mume wake kwa chochote,  siku moja alijikuta akidanyanya pasipo kujijua kama anadanganya. Wanawake wengi hawapendi kuitwa wadanganyifu, …

1 41

Mara nyingi mwanaume anapokuacha ni dhahiri kuwa hakuwa na mapenzi ya kweli kwako, na wala hakuwa na hisia  za kweli kwako hata hakuvutiwa nawe toka mwanzo, kama hakuwa na mvuto …

0 69

RAIS JOHN POMBE  MAGUFULI AKIWA KATIKA MISA YA CHRISMASI MISA YA MOJA KWA MOJA ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM. Mungu alitupenda sisi akamtuma mwanae kupitia ...
0 70

CHAKULA. Wakati  homoni zikiwa na tatizo mwilini mwako utaelewa tu , maana kuna dalili utaona , mara utasikia kuchoka bila sababu , uzito kupungua,  hutapata usingizi vizuri usiku,nguvu zinapungua na …

0 1.1k

  PIGA HATUA UPATE: Sio wote wanaopiga hatua  hupata mafanikio,  wale wanaopata ni  wale ambao wanafuata utaratibu mzuri wa maisha ,fanyia kazi furaha ya kudumu, kwa sababu furaha ya  ya …

0 80

  Ukijipenda usitegemee kupendwa , tunaweza kuwa na hali fulani ya kuwa najipenda ili watu wanipende , ndio,lakini usijihakikishie hivyo , kwa sababu  inawezekana kabisa kuwa kujipenda wengine  huleta hali …

1 46

MTU WA KWELI CHAKULA CHA UKWELI       Kama umewahi kusikia neno water proof,  utaelewa vizuru ninachotaka kukupa hapa,  Kuna watu hata hawafanyi mazoezi ili wapungue mwili  , wao …

4 68

  CHAKULA NA DAWA. Ilikuwa vigumu kufikiria  muda nguvu  utulivu na pesa  ambayo nilitumia kutafuta uponyaji na afya njema na amani .ilikuweka afya yangu vizuri kila wakati nilijaribu kitu kipya …

2 72

  mara nyingi unapokuwa na  mambo mengi ,unahitaji kupata faraja  ya nyimbo, sikiliza  nyimbo hizi zifuatazo utapenda    nakujisikia vizuri.

0 136