Posts in

Archives


  Kuna maswali mengi huulizwa na wanaume  kuhusiana na afya zao, hasa katika kujamiiana na wenzi wao. lakini nimekuwa nikisikiliza mazungumzo yao mengi,na nikawa na mshangao sana kusikia historia mbalimbali …

0 87

Kuna watu wengi hushindwa kuanzisha mazungumzo wakiwa na  marafiki   zao, wakati ambapo kumekuwa na ukimya wa muda mrefu kutokana na mikwaruzo au kutokuelewana jambo fulani katika mahusiano yao. tambua …

3 131

NITAFANYAJE KATIKA MAISHA YANGU. mwanzoni niliandika kuwa UKIWA MDANGANYIFU NAWE UTADANGANYWA.,Lakini hii ni utawezaje kupata mapenzi ya kweli. Nimeona jinsi mtu anavyotafuta kupata thamani  ya mahusiano, na jinsi anavyoingia kwenye …

0 56

USHAURI WA MAHUSIANO. Jinsi gani utakabiliana na wivu wa mapenzi kabla wadudu wabaya hawajaanza kutafuna mahusiano yako na umpendae katika maisha yako Watu  wengi husema kuwa mapenzi ni upofu, lakini …

1 404

ISHI MAISHA YAKO.   Nilikutana na msichana mmoja ambaye alikuwa akifanya biashara ya nguo, akiwa amekata tamaa kabisa ya maisha baada ya kupoteza pesa zako   wakati huohupo biashara ikiwa …

1 63

AMANI YA NDANI Kuna aina  nyingi za tafakari, watu mbalimbali wanafundisha kuhusu kutafakari kwa majina tofauti na makundi  mbalimbali, nimechunguza na kuona kuwa  kuna watu  wa aina kama tatu hivi.

0 50

Kuna watu wengi wanapenda  kupungua bila kuacha kula, tunapenda kula vyakula vyenye wanga kila siku, na tunapenda kula nyama nyingi kila mlo. lakini pia inawezekana kupungua endapo utafanya mazoezi  magumu …

0 62

Sijui kama unaelewa kama dunia ya sasa imebadilika kiasi kwamba   huwezi hata kumsaidia mtu  au jirani  pindi panapotokea tatizo.  unaweza ukawa unapita sehemu ukaona mtu anapigwa lakini ukashindwa kumsaidia …

0 46

Unapopita kwenye mambo mengi , shughuli  nyingi za hapa na pale  huwa unachoka sana unahitaji kukaa na kutulia  ukitafakari juu ya  vyote ambavyo umefanya kwa siku. pia kumbuka yule aliekuwezesha …

0 48

Kukua ni maumivu,  ukitaka kufanya mabadiliko ya kitu chochote ni maumivu, lakini  hakuna maumivu makali kama kukwama mahali ambapo  sio sehemu yako. yaani hutakiwi kuwa pale ila kwa sababu fulani …

0 54