Posts in

Archives


Kama wewe ni mchunguzi wa mambo utakubaliana na mimi kuwa  wanawake ni wengi zaidi kuliko wanaume.lakini je tunafahamu nini  tofauti ya mwanamke na mwanaume?

0 123

Napenda mabadiliko,napenda kusaidia watu, pia napenda watu wabadilike, wampende Mungu. Lakini ni uamuzi wa Mungu kunitumia mimi kwa kiwango atakacho  kwa ajili ya watu  wake. mimi siwezi kumbadili mtu  Hii …

0 103

KUTAFUTA MMOJA. Ni kazi ngumu  inapokuja  kutafuta mwanamke anayefaa  mwenye sifa uzitakazo,na kuna sifa nyingi zaidi ya mia  za kutafuta msichana  mwenye nazo. na tena mimi nakuja na hizi 23 …

2 110

Kuchunguza. Inaweza kuwa ni kazi ngumu sana  ya kutafuta sifa kwa kijana ambae uatoka nae, lakini nataka nikusaidie japo kidogo ili  uweze kujua kama uko na kijana sahihi katika maisha …

3 101

John ni mume, ni mtumishi, ni mwandishi, aliandika kitu cha kunistusha sana kwenye makala yake, lakini baada ya kuisoma nilikubaliana nae asilimia 100.

0 63

Vitu 11 vya kuvutia wafanyavyo wanaume bila hata kujitambua kuwa wanaonyesha upendo  na kuvutia wanawake kila wakati.

0 62

Maisha ni mafupi mno kubaki na  mchezo mchezo , hasa wewe ambae tayari uko na miaka zaidi ya 20,kuna mambo kadhaa yatakusaidia , hata wengine yamewasaidia endapo utafuata kwa kumaanisha.

2 73

Ni kawaida kwa siku hizi za leo kwa wadada wengi kuangalia pochi kwanza, hatuko tayari kukaa na kuangali kwa umakini kitu  mtu alicho nacho ndani yake ,Yaani ni hivi,

0 133

Mara nyingi umekuwa ukisikia kuhusu saratani ya matiti ,mara uvimbe kwenye matiti au titi  ambavyo uvimbe nao unavyogeuka kuwa  saratani endapo utachelewa kutoa ,lakini pia tumesikia jinsi saratani inavyoenea  kama …

0 163

    Kila siku ni valentine, huo ndio mwendelezo wa kukua vizuri kwa mahusiano yalio imara bila ya kujali vyeo .kutafuta hekima na maarifa katika safari hii ya  ya kujifunza …

2 106