Posts in

Archives


  Uaminifu ni jambo la msingi na ni chombo  pekee kinachofaa ndani ya mahusiano mbalimbali, kama  ya biashara, mke na mume, mtu na mchumba,  marafiki na familia.uaminifu ni uwezo unaoleta …

1 5.7k

Watu wengi  hawana bahati ya kuwepo kwenye mahusiano ya kudumu, ingawa kuna msemo usemao kuwa , kuolewa ni bahati na sio lazima. Ni kweli kabisa kuolewa ni bahati. maana ingekuwa …

2 271

  Kwa kawaida tu penye mahusiano ya watu wawili kuna maelewano ya kawaida , na kuna kutofautiana pale mmoja anapokuwa msaliti kwa mwenzake. Wenza wengi wamekuwa wapweke kwa sababu ya …

0 991

Ni jioni nzuri umekaa nje ya nyumba  yako, unafurahia upepo mzuri pamoja na yule unaempenda sana, na ukiangalia tayari umeshakuwa na makunyanzi kidogo na nywele zako zimeanza kubadilika rangi na …

2 105

Nimekaa chumbani  nafikiria maisha yangu, nikasikia huzuni nyingi moyoni mwangu,  nami ni Single, lakini  nawaza kwa nini sijakutana na mtu ambae nampenda naye ananipenda.

0 101

Siku hizi kuna malalamiko mengi sehemu mbalimbali, sio tu hapa nchini petu bali ni kote.Wanawake wamekuwa wakilalamikia wanaume kuwa hawatimizi haja zao, na kuwa  hawajali hisia za wake zao na …

0 256

1.Unayo Maoni. Ukweli ni kwamba , ukiwa na maoni yako ni vizuri , lakini usitegemee kuwa mawazo yako ndio yako peke yako. unaweza ukaweka maoni yako ndani ya kikundi, na …

0 55

  Hivi jamani kuna urahisi gani kuwapenda watu kama hawa, watu ambao , wanabaka watoto wadogo, wanaua watu wasio kuwa na hatia, wezi wanaoharibu  na kuua, watu wanaoleta machungu

0 60

    Siku hizi watu wengi  wameelimika  , wanafanya mazoezi  na kufuata kanuni bora za ulaji, kuliko huko nyuma watu walijua kula  vyakula vya

0 51

  Kuna wakati  mwingine mtu unakuwa na furaha, lakini sio siku zote, unapata furaha labda kwenye  sherehe  mbalimbali, hio sio furaha

0 132