Posts in

Archives


Msichana mmoja  mwenye umri wa miaka 20 hivi aliugusa moyo wangu, aliponisimulia kitu kinachomtokea  sasa. niliona anapitia changamoto

0 81

  Ni mara ngapi  unahitaji kuona watu wakionyesha kukupenda, kukuthamini na kukuona wa muhimu kwao. Hua unajisikiaje ukigundua kuwa watu wanaokuzunguka

0 52

Mara nyingi  huwa natafuta  vitu  vizuri vya kuniamusha katika maisha yangu. kwa nyakati nyingi ninapokuwa na msongo wa mawazo, kwa sababu msongo wa mawazo sio ugonjwa  ukiwa na  uelewa huo. …

0 48

Njia 10 za kukufanya uyapende maisha zaidi hata baada ya miaka 40. Watu wameanza kutambua kuwa umri wa kati ni umri mzuri  wa maisha kuliko umri wowote, na ni muda …

1 49

Mke akamrukia mume wake na kumbusu , baada ya kusikia watu wakimbeza .   Mume wangu  ana umri wa miaka 27, aliumia wakati yuko lindoni, na alipata maumivu makali kwenye …

1 78

Wasiwasi, mashaka , hofu  limekuwa ni janga la  dunia. Tuna wasiwasi ya kwamba watu wanatufikiriaje, kwa kila tunachofanya.

3 71

Kama una historia ya unene katika familia yako,hutakiwi tu kuridhika na hio historia   eti kwa sababu ni asili yenu toka enzi, kuwa na magonjwa  yanayosababishwa na uzito usikubali. ukweli …

0 142

Kama wewe ni kila kitu  kama mimi, hauhitaji sababu yeyote zaidi inayokufanya uwe na hofu. unahitaji sababu chache tu za kuacha hio hofu.

1 68

Uzoefu wa urafiki wa kimapenzi katika mahusiano yako. Amini hivyo au usiamini.Mara nyingi mapambano hutokea kwa kile unachoamini, hata kama mwenzi wako haamini hicho unachoamini wewe.

0 65

  Fikiria hili swali, Unatarajia kuolewa? wanawake wengi wa Africa  hawawezi kupata ugumu wa kujibu hili swali, na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa wa  kuolewa,

0 127