Posts in

Archives


  Kila siku  wanawake wengi wanachukua hatua ya  kuhakikisha  wanaonekana wazuri kupita jana yake, na katika muda wote.

0 100

Kuna wakati niligundua kuwa  sisemi asante  kwa kila kitu , asante haikuwa inatoka kwangu katika maisha yangu. Niliposafiri kwenda mahali  nikajifunza kutoka kwa  watu wa huko nilikokwenda

0 61

  Unaweza usielewe hili, lakini unazo dalili za kimapenzi, na wote tunazo, ni kati ya hizi aina tano , unaweza kuwa wewe ni aina yako ya kipekee.

0 82

A solo traveller can themselves experience Solo travel helps you find that inner peace of mind and be your own travel guide. You can guide yourself through your selected destination …

0 49

Fikiria  yaliopita kabisa , kule nyuma kabisa,  ni lini uliwahi kuwa na furaha  ya kweli ,  ilikuwa ni sababu gani ilikufanya uwe na furaha ya kiasi hichi?

0 56

Tunapofikiria mapenzi, tunafikiria  chocolates, uvivu fulani wa jioni kwenye  makochi au vitandani, au romantic date za usiku. Kwa nini romance imekuwa ni  sehemu muhimu katika  kila mahusiano, imekuwa ni siku …

5 178

  Mara nyingi watu hushitushwa  kusikia hiki,  lakini unaweza kupunguza uzito wako kwa maamuzi yako leo. Ni nia yangu , ni kazi yangu  kuwasaidia wengine kugundua njia rahisi ya kujiweka …

0 84

Ngoja nianze kusema hivi, Mimi sasa nimefikia  muda ambao  natamani kufanya mambo mengi  ambayo nilitakiwa niwe nimeanza kuyafanya wakati nikiwa kwenye 25, nahitaji ushauri katika mambo mengi.

0 48

Kama unasumbuliwa na maumivu sugu ya mgongo, unaweza kupata faida kutokana na  haya mazoezi ya kujinyoosha  yalio rahisi kabisa  ambayo yanaweza kufanyika mahali popote  na yatakuletea matokeo ya haraka kabisa.

0 37

Kulala ni kitu cha muhimu sana  ambacho huwa tunakifanya kila siku  usiku. Kupata muda sahihi wa kulala na ni mara ngapi haihesabiki na kiasi cha faida,  na sio kulala  usingizi …

0 131