Posts in

Archives


Tunapoelekea mwisho wa mwaka  na kuanza mwaka mpya, ni wakati  wa kuangalia sasa nyuma  miezi 12 iliopita  na kuipima mwenyewe.

0 58

Tunatarajia fadhili  kwa kukataa au kufukuza kiwango mara mbili kwa  kuangalia maandiko  na hadithi za biblia Ingekuwa ni vizuri zaidi kama tukiwapenda majirani kama tunavyojipenda sisi, kwa sababu mfano wa …

0 146

Wewe ni moja ya wale watu  ambao, kama mimi, wakati mwingine, mara nyingi, hujisemea maneno mabaya?  Kujisema maneno ndani  ya kichwa chako  hio sauti  ambao hata hungeweza kumwambia mtu unae …

0 121

Vitu vya kweli 8 vinavyopoteza muda. 1.Kuangalia TV 2.Kuwa na mahusiano na mtu ambae eti kwa sababu unaboreka ukiwa peke yako au mpweke.

0 58

KITU CHA KUFANYA KATIKA MIAKA 20 KUEPUKA MAJUTO  KATIKA MIAKA 30 NA 40 1.Jijengee tabia ya kula chakula chenye afya na kufanya mazoezi. Mwili wako utakuambia miaka ijayo.

0 111

Utaepukaje matumizi ya sukari nyingi au kutotumia kabisa, ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza mara nyingi.

2 60

Shukrani ina faida nyingi , lakini ni ngumu kuidumisha. Kudumisha hizo asante   unafanya mawazo yako yawe juu, na hizo shukrani ni furaha ya ajabu.

0 66

Kwenye kiasi na sifa inapofanya tofauti. Kuridhika kwenye mahusiano  sio kitu pekee ambacho kinatupatia furaha ya kweli,   yanashawishi  afya ya muda mrefu  pamoja na kupata muda wa kutosha wa kulala, …

1 52

Umekuwa muathirika , kwa nini   maandiko haya  yanasaidia. Kwa nini mteja anapokuja kwenye tiba kwa ajili ya msaada/ au ushauri wa tabia, kitu cha kwanza anachoambiwa ni,  kama anafahamu  matatizo …

0 43

Ni lazima kumsamehe mama  ambae  hakuonesha upendo kwako? Nafikiri msamaha ni maamuzi ya kipekee, Na hakuna ndio au Hapana . Nafikiri hio  haijalishi nani atafikiria nini  hili neno Msamaha.,

0 60