Posts in

Archives


Watakuelewaje watu wanapokualika  kwenye  mikutano au harusi  na hukufika, au ulisema hapana?

0 52

Siku moja niliamua kuacha kazi yangu, mahusiano yangu, na hata  imani yangu ya kiroho… Nilitaka kuachana na maisha yangu.niliingia chumbani na kutaka nipata muda wa mwisho wa kuongea na Mungu. …

0 46

Wote tunafahamu kuwa wanandoa wanahitaji  ushauri  mapema  pale tu wanapoingia kwenye ndoa kabla ya  kitu chochote.

0 143

Mungu ni wakushangaza, tena ukubwa wake haujulikani, anaabudiwa na kila kiumbe , wapo wanaosema kuwa Mungu yupo juu  mbinguni, na

0 51

Ipo siri kubwa kwenye vyakula, kwamba tunachokula ndicho kinachoathiri  miili yetu, yote pamoja na jinsi tunavyotazama  nje  na jinsi miili yetu inavyofanya kazi ndani. Inaweza pioa katika kurutubisha nguvu za …

0 115

Huzuni ni hali ambao mtu hajisikii vizuri kabisa. Na hii inatokana na kutofuata  matakwa ya mioyo yetu ya kutaka kupata  maisha tunayotaka ,  Na badala yake tunaingia katika kujilaumu  kwa …

0 60

Unasaidia ndoa yako kugeuka kutoka katika ugumu kufikia ubaya? Nilipita mahali kwa ndugu yangu  ,  nilisikia  binti akipata ushauri kutoka kwa mama yake kuwa ndoa ni kazi ngumu,  na nilipatwa …

0 84

Nilipokuwa mdogo, niliona kituko fulani vitu vidogo kwenda vibaya. Sijui ni kwa nini  nilikuwa na mawazo haya., lakini nilikuwa na wasiwasi mkubwa mno muda wote .Nilipatwa na ugonjwa mbaya wa …

0 58

Kama wewe ni mmoja wa wale wengi wanaopenda kutafuna tafuna vitafunio wakati wa usiku baada ya kula chakula cha kawaida,

0 66

Umejiwekea deni mwenyewe kuwa ni nani ambaye utampenda kweli. Mambo machache inabidi kuyafanyia kazi kuliko kumtazama mtu unaempenda akiwa anapoteza muda na mtu ambaye anamwona kama  ni adui yake.

0 57